Ww ungekuwa mwanaume wala usingejibu hv.Acha shobo za mitandaoni, kwnza aliyekwambia mi dada nani.
Nyie pagaweni pagaweni tu mtakuja ingia cha kike mitandao hii
Hahahahaaa hyo barabara ni hatari hapo haijapigwa yote yn ni ngumu kuelezea cz ikifika mbele inatanuka na ni pana balaa ina madaraja mengi na inavutia sn, estim kwa kweli wapo vzr mno, ngj apatikane mtu apige picha kamili cz apo ni mwanzo mwanzo ukifika mbele kdg inaanza kutanuka af mbele kdg zinaachana.

Yn ni the best architecture imefanyika hapo tulia cku iletwe humu![]()
Thika road in kiambu county huwa na10 lanesSiku hzi 8 imekua 10 mpaka 12 lanes 😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 raha sana
Muna hesabu na njia za kuingilia na kutokea pia 😂😂😂😂😂😂Thika road in kiambu county huwa na10 lanes
Thika rod in Nairobi county huwa na12 lanes
Hyo ni Fact,
Hii gari Ni type ipi?iko tu sawa

Muna hesabu na njia za kuingilia na kutokea pia![]()
Crown new model hioHii gari Ni type ipi?iko tu sawa
8 lanes highway wala haitaj ramli😅👇👇

huyo dk.wanjigu ni kimeo sijawahi onaDr wanjigu serikali ya kunya ilituelewesha lini kuhusu mikopo inayochukua?