Daaah Kenya mna dharau Sana Musoma ni mji ambao uko well planned kingine ni mji msafi Sana compared to your Nakuru 🙂Hi si ni Kijiji tu zile za ujamaa🤣🤣
Iko na nini hii Kijiji cha kujivunia ispokuwa uswazi tupu na vumbi kila Kona🤣🤣
Ni kweli mmetuzidi kwa ufisadi,ukabila,ubinafasi,uchafu,pollution,njaa na mengine kibao😏🤣🤣🤣🤣🤣🤣heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
Na hiyo Ndio “middlewalk” ambayo wanajivunia kuliko zote nchi nzima! They post it 95% of the time!maengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk
View attachment 1643517
Na hiyo Ndio “middlewalk” ambayo wanajivunia kuliko zote nchi nzima! They post it 95% of the time!
Speed mostly in the CBD how as low as 30kph,so no accident can happen here especially kukanyanga watumaengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk
na wamefikiria kbsa (assumption ya accidents prevention) ikitokea gari ikipata shida kwenye mwendo, dereva atafikiria kuelekeza gari kushoto kwenye majengo na sio kulia kwenye watu (middlewalk) na uwazi
View attachment 1643517
Ushampoteza, hapa wala hajaelewa atabaki na English yake ya "last time I checked...", "Have never happened...", "This.. this...", Hawa jamaa bhn[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You are way too deep in Your crappy ass life to the extent that you’ve forgotten that you’re living in hell...the hell of your own making!
Fanya hivyo mkuu tuyatetemeshe haya ma lazy.Jamaa hivi mnafahamu Dodoma kuna sehemu wanaruhusu ujenzi wa nyumba za ghorofa tu hauruhusiwi kujenga nyumba za kawaida.
Moja ya masharti ya kuuziwa kiwanja pale ni ujenge nyumba ya ghorofa.
Na nasikia viberiti vimeinuka kweli kweli.
Niko Dodoma safari ya kikazi ngoja nijaribu kufuatilia hiyo sehemu nione kama nitafanikiwa kupiga na picha.
Mipango miji Dodoma mmetisha kweli kweli.
Kazi yenu ni kubadili ID's tu, nyie kweli wanga.Something even bigger is coming to Nairobi.
Wenye kuuliza construction boards anzeni. mtajua hamjui.
View attachment 1643483View attachment 1643485
Asante kwa render [emoji1666][emoji1666]Something even bigger is coming to Nairobi.
Wenye kuuliza construction boards anzeni. mtajua hamjui.
View attachment 1643483View attachment 1643485
Nlikuwa cjaona, oyaa wakuu oneni boko hili, yn serikali inawawekea mtego raia wanase wafe, oneni sidewalk hii[emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sidewalk in the middle of the road. seriously? hata bure siitaki! hii itakuwa middlewalk na si sidewalk! Only in Kenya !
Jengo moja linapigwa picha asubuhi, mchana, usiku, kiangazi, l kwenye mvua, aerial view, 90° angle etc[emoji28][emoji108][emoji108]View attachment 1643540
Na huwa wanaipost kila baada ya dk 5, wkt cc tuna ma sidewalks ya kumwaga mpk wakakimbia, ila wakuu hili boko ckuwa naliona mpk Geza Ulole aliposema [emoji2][emoji2][emoji2]maengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk
na wamefikiria kbsa (assumption ya accidents prevention) ikitokea gari ikipata shida kwenye mwendo, dereva atafikiria kuelekeza gari kushoto kwenye majengo na sio kulia kwenye watu (middlewalk) na uwazi
View attachment 1643517
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na wametengeneza mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23].