COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Slum ni slum bro nitumie photo ka hii nikupee sh1 million saithat's not slum by the way...
coz katika hizo suburb ambazo nyie mnazi_consider kama slum kuna different designs of housing na pia watu waishio katika hizo houses ni wa kipato cha kati na chini pia
tofauti na hizo za kwenu ambazo zina_be considered as slums kwa kua na watu wenye vipato duni tuu