Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tokea mwaka 2008 tumewachapa bakora mpaka leo hii.....😀😀😀😀😀
Na hio inahojengwa tanga itakua inazalisha 7 million tons per year pekeake wachana na dangote 3 to 6 million
 
Guys its now proven 80% of dar with cbd on the background
9afe0f96c7e9379147585ef176b67b93.jpg
41a7ca9cd477e0401ec31d5a722e8691.jpg
504b37498152cbf563c4962c86fa6b09.jpg
 
daah COLLOH-MZII

that's pic above ulizoziapload ziangalie vzr...

ni za some 10 years ago
af kitu kingine hatuko update sana na Google kwhy pics nyingi na info nyingi kuhusu Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla ni za miaka hiyoo
 
daah COLLOH-MZII

that's pic above ulizoziapload ziangalie vzr...

ni za some 10 years ago
af kitu kingine hatuko update sana na Google kwhy pics nyingi na info nyingi kuhusu Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla ni za miaka hiyoo
Tuma ya 2017 basi... That photo is 2015 and I got it online
 
Ni ukweli ni slum..tafuta better
that's not slum by the way...
coz katika hizo suburb ambazo nyie mnazi_consider kama slum kuna different designs of housing na pia watu waishio katika hizo houses ni wa kipato cha kati na chini pia

tofauti na hizo za kwenu ambazo zina_be considered as slums kwa kua na watu wenye vipato duni tuu
 
Hata kama nyie ni wapumbavu ..cio ki hvyo
Mlimani city has 19000sqm which for now imefika 30,000sqm after phase 3 ..phase 4 ikiisha itakuwa na 48,000sqm

Na Bado ryt now mlimani cio the biggest mall in Dar or Tz
Kuna
Mkuki house mall 40000sqm
Quality centre 30,000sqm
Na mall nyingne cjui area yake exactly ila zimeipita mliman ..it was just the first thing to be called a mall
Na wikipedia hawaja update toka 2006
Zote hizo zimeipita mlimani ..sasa mnavyosema ndo biggest mall in dar ..mnakua waongo ..kweli Dar inawatoa jasho

NB ..According to super brands and mliman ...century cinemax mlimani city has The Largest Screen in East Africa

  • The Junction Mall
  • Two Rivers Mall [1] - Runda
  • Capital Centre - Mombasa Road
  • Comesa Mall (under construction) - Eastleigh, Nairobi
  • The Crossroads Mall - Karen (Nakumatt Karen)
  • Galleria Mall - Karen-Langata Road
  • Garden City Shopping Complex - Kasarani
  • The Gift Mall
  • The GreenHouse Mall - Ngong Road
  • Greenspan Mall Donholm
  • Highway Mall - Mombasa Road
  • The Hub Karen - Karen
  • Karen Shopping Centre - Karen
  • The Hub Karen Mall - Nairobi
  • The Mall - Westlands
  • Mountain Mall - Kasarani
  • Nakumatt Lifestyle
  • The Point - Buruburu
  • Prestige Plaza - Ngong road
  • Sarit Centre - Westlands
  • Shujaa Mall - Spine Road
  • K-Mall - Komarock (off Kangundo Road)
  • T-Mall - Nairobi West
  • Taj Shopping Mall - Embakasi
  • Thika Road Mall - Roysambu
  • The Village Market - Gigiri
  • Nextgen Mall - Mombasa Road
  • Westgate Shopping Mall
  • Yaya Centre - Kilimani
    • Ananas Mall,
    • Flame Tree Park
    • Juja City Mall
    • Kamindi Self Ridges
    • Cleanshelf Supermarket
    • Twiga Mart Supermarket
    • Smart Home Supermarket
    • KU Unicity Mall (upcoming)
    • Nakumatt Ridgeways
    • Spur Mall, Ruiru
    • Two Rivers Mall (
    • Tuskys' Mall -
    • Ushirika Mall -
 
Back
Top Bottom