ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ndio maana nikakwambia niletee official source usiniletee source za wahuni ndugu😀😀😀😀😀😀
ndio maana nikakwambia niletee official source usiniletee source za wahuni ndugu😀😀😀😀😀😀
Na hio je????????Unafufua vitu za january zile ulistore kwa gallery. ...hii ujinga yako ni legendary
El Matador
just look on what facts Nairobi imeiacha Dar kwa hatua katika hizo comparison
ndo utajua Dar na Nairobi are two sisters with different mothers
....yaan kuna vitu ambavyo ni very potential Dar imevipita Nairobi na ndo vitu hivyo hivyo ambavyo akina ichoboy na COLLO walikua wana_debate humu kwny thread
things like
~population density
~unemployment rates
~average salary
~economic growth
~n so many stuffs ambazo ndo potential kwa uimara wa jiji lolote hapa duniani
but Nairobi imei_beat Dar kwa
~capital city
~weather conditions
~corruption
~n other stuffs
![]()
Labda ndio sababu nakumat inafulia uku Tz, huwez jaza unga kwa shelf alaf utegemee utafanya bizz
Uzinduzi wa barabara 64 km bagamoyo to msata by Magufuli. Tanroads ni agency ya tatu(3) barani Africa kwa kuwa na kilometer snyingi za barabara za ramiView attachment 529408 View attachment 529409 View attachment 529409 View attachment 529407
😀😀😀😀😀😀😀 usilie basinkt. .......these unknown people ndio celeb kwako
![]()
Labda ndio sababu nakumat inafulia uku Tz, huwez jaza unga kwa shelf alaf utegemee utafanya bizz
Ata huku kuna barabara za halimashauri na tanroads. Usifikili nihuko kenya tu. But naona governors Kenya wanatafuna sana pesa za barabara alafu barabara zao ni substandard sana and they don't pay on time. Ishort kuna matatizo mengi sana mwenye barabara za governors.feeder roads in Kenya ni kazi ya governors
Ata huku kuna barabara za halimashauri na tanroads. Usifikili nihuko kenya tu. But naona governors Kenya wanatafuna sana pesa za barabara alafu barabara zao ni substandard sana and they don't pay on time. Ishort kuna matatizo mengi sana mwenye barabara za governors.