Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama unayo official source leta kama huna basi piga kimya tu
Official ni USD $6b ...nategea photo bana??????
4e3d0b552bc4a4af8477e778a34ed033.jpg
 
Collo ka waulize superbrands hizo inch ..ila kilichoandikwa ndo hiko
3e9c68dcfa12076ec5dda2be8ce83fe1.jpg
 
there is a rumor that fc barcelona's forward player,neymar da silva santos is coming to tanzania for a vacation.

wakenya ombeni hii habari ibaki kuwa tetesi isiwe kweli.

wallah ikiwa kweli,tutawa-troll mpaka mtakasirika.round hii mtajibeba

102142e55d4dbadc19d92f68772751e1.jpg
apa pia kuna rumour ya Rihanna na Nikki Minaj kupiga show huku lakini tumetulia tu kama maji ya mtungi!
punguza mbwembwe
 
Rumour?? Don't u have screen shots for that rumour? ....ata mungu akuje Tanzania Leo you're still behind ke
neymar yupo vacation Zimbabwe, but kuna tetesi his next destination after Zimbabwe is tanzania.

hizo ni tetesi,hakuna mwenye uhahika since first class celebrities ni watu wa privacy.
249c907934fbdf2ed5db5eb659670282.jpg
c51c2e37162f5ba01fd57321ec63c1ef.jpg
 
Yani kile unachoongea inaonesha jinsi gani bado Akili yako ndogo sana
Dangote pekeake tanzania ana produce 3 million per year
We unatuletea porojo gani?????😀😀😀😀
Soma hapo uone full production ya dangote pekeake itakwenda mpaka 6 million annually

Dangote Cement, Tanzania government haggle over price of natural gas - Premium Times Nigeria

Weka pembeni viwanda vingine vyote

Tanzania would account for all the new capacity pushing the country’s total installed capacity to 9.4 million tonnes per annum.
who is the fool here????you just posted something saying the total cement production of tanzania is 1.6 million tonnes and here you are again saying dangote ana produce 3 million tonnes peke yake.
can you get any dumber????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
apa pia kuna rumour ya Rihanna na Nikki Minaj kupiga show huku lakini tumetulia tu kama maji ya mtungi!
punguza mbwembwe
kila la heri ktk hilo but tofautisha mtu anayekuja nchini kwako kwa vacation na yule anayekuja kufanya kazi ya kutumbuiza majukwaani.

hata Angelina jolie yupo huko kwenyu kwa shughuli maalum ya hisani.


kwa sasa,sisi tunapokea celebrities wanaokuja tz kula bata na kufanya utalii.
 
wakenya leo mmepatwa na nini,mbona hampo speed kupost kama juzi na jana?.....najua mnaniogopa,msiniogope.

siku nisipokuwa active kwa hii thread huwa mnamuonea sana comrade wangu ichoboy01 .leo nipo active mnapost kwa uoga.
Pata picha hotel yenye kipindupindu ni ya "Ruto Singh" hachelewi kudai NASA wanahusika..
 
Back
Top Bottom