Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe Musoma kumekucha napo, aisee.
Mkuu hii ni Lindi nafikiri ni least developed region of Tanzania

Lakini hii hii Lindi inaweza kuichapa Mombasa kichapo cha mbwa koko bila majibu

Well planned and beautiful 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

hqdefault (1).jpg
00350674_d0176cb417b48d12b9a8cf7cab0b2809_arc614x376_w735_us1.jpg
maxresdefault (4).jpg
EDSK7KvXsAAdNs-.jpg
lindi-beach-resort.jpg
190556336.jpg
mn.jpg
 
Ati tanga na bukoba pia ni city hzo ni shopping center
Low standards kama za Uganda😂😂😂, Uganda has ten cities outside Kampala., in Tz Mwanza is a serious city😂😂 umeona infrastructure in that laleside town? Kisumu sio mwenzake., Thika has by far posh residentials than Mwanza😂😂 and taller buildings than Mwanza😂😂 I like Tanzanians, wanajikaza sana kwa kutetea nchi (Blind patriotism) just to feel good. Ukweli uko wazi tu😂
 
Low standards kama za Uganda😂😂😂, Uganda has ten cities outside Kampala., in Tz Mwanza is a serious city😂😂 umeona infrastructure in that lalesude town? Kisumu sio mwenzake., Thika has by far posh resudentuals than Mwanza😂😂 and taller buildings than Mwanza😂😂 I like Tanzanians, wanajikaza sana kwa kutetea nchi (Blind patriotism) just to feel good. Ukweli uko wazi tu😂
Huwa nashangaa kama nakuru ilinyimwa city status unapata Tanzania inasema tanga ni city ,yosef festo unajua tanga kweli 😂😂😂😂 ama huwa unasikia tanga tu 😂😂😂
Kenya inacity tatu pekee na hyo ya tatu kisumu juzi nilishangaa kuona kwa government documents inaitwa kisumu town meaning it's a city for political reasons only it doesn't qualify infrastructure wise to be a city in Kenya lkni ingekuwa Tanzania 😂😂😂😂
 
Mkuu hii ni Lindi nafikiri ni least developed region of Tanzania

Lakini hii hii Lindi inaweza kuichapa Mombasa kichapo cha mbwa koko bila majibu

Well planned and beautiful 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

View attachment 1643344View attachment 1643345View attachment 1643347View attachment 1643348View attachment 1643349View attachment 1643350View attachment 1643351
Mnajikaza kweli, eti sasa mmefika, I cana see also hehehe., any coastal town has resorts and beaches, hakuna jipya hapo, ama nyie ni wale fukara wa Dar mnoenea kwa google? hehehe, mtandao unaendelea kuwaumbua kila kitu, kutoka kwa fikra zenu hadi kwa mazingira pia..,
 
Huwa nashangaa kama nakuru ilinyimwa city status unapata Tanzania inasema tanga ni city ,yosef festo unajua tanga kweli 😂😂😂😂 ama huwa unasikia tanga tu 😂😂😂
Kenya inacity tatu pekee na hyo ya tatu kisumu juzi nilishangaa kuona kwa government documents inaitwa kisumu town meaning it's a city for political reasons only it doesn't qualify infrastructure wise to be a city in Kenya lkni ingekuwa Tanzania 😂😂😂😂
Si umeona Mombasa ni level ya Dar, only small differences, but walking on the same lane, haya miji yetu yangekua Tz hapa hatungekaa! kelele yenye ingekua humu sijui tungejificha wapi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wa melishwa propaganda na wamejawa na wivu, ata kama kuna kizuri Kenya, mitanzania cant appreciate, lazima wengi wao wajaribu kujikweza and yet tofauti is too obvious!! wamebaki ku cherry pick vipicha hapa na pale kujifariji tu.,🤣🤣
 
Mnajikaza kweli, eti sasa mmefika, I cana see also hehehe., any coastal town has resorts and beaches, hakuna jipya hapo, ama nyie ni wale fukara wa Dar mnoenea kwa google? hehehe, mtandao unaendelea kuwaumbua kila kitu, kutoka kwa fikra zenu hadi kwa mazingira pia..,
Tukiamua kuweka battle Tanzania itoe miji yake maarufu na nyie mtoe miji yenu maarufu, tuanze battle ya unpopular towns on both sides, mtakosa counties za kupost humu mbakie na vichaka na majangwa yenu.

Actually ukiondoa central Kenya, Kenya yote ni takataka, 90% of your country is ugliest desert and undeveloped landmass
 
Awa jamaa wa huku mtandaoni wanavyoisifia kenya utadhani ni ulaya hivi kumbe kwa ground wana maisha ya shida kinoma. Kuna jamaa wanne wa kenya nimewakuta sehemu wamefungua ka tution ka pre form one. Jamaa wakiona tuu umevaa jezi au kofia yenye nembo ya tz dah wakusalute sanaa. Hawana mpango wa kurudi kwao. Wanaamini Tz ni nchi imebarikiwa sanaa.

Sasa hawa ndugu zetuu wa huku mtandaoni dah sio pw kelele mingii uhalisia 0,

Kuja uchukue omba omba kaka, warudishe kwa nchi iliyo "barikiwa" 🤣 🤣🤣 mnanimaliza sana, Tz Tz Tz, pia kuna watu wanafanya kazi na biashara Somalia pia, so wasomali pia watadhani nchi yao iko juu., napenda hizi fikra, hazina uwezo wa kupita pua..,🤣🤣
 
Tukiamua kuweka battle Tanzania itoe miji yake maarufu na nyie mtoe miji yenu maarufu, tuanze battle ya unpopular towns on both sides, mtakosa counties za kupost humu mbakie na vichaka na majangwa yenu.

Actually ukiondoa central Kenya, Kenya yote ni takataka, 90% of your country is ugliest desert and undeveloped landmass
I dare u kaka., drone video clips, kama uko na balls, anza kumwaga your shopping centers.., am waiting with unlimited "bandos".., tuende kazi bro.., lazima niue propaganda🤣🤣🤣
 
FYI miji yenu maarufu ni moja tu, Dar, na kidogo tunaeza ongeza Mwanza., so we delete two from Tz and five from Kenya., let's roll...,
 
Nimezama Google kupata fairly competition nitafute the poorest counties in Kenya then poorest regions in Tanzania ili tufanye kuleta the best of them, check kitu nilichokutana nacho 😂😂😂😂😂

Polish_20201206_203934601.png

I gave up
images - 2020-10-12T122124.526.jpeg

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Si umeona Mombasa ni level ya Dar, only small differences, but walking on the same lane, haya miji yetu yangekua Tz hapa hatungekaa! kelele yenye ingekua humu sijui tungejificha wapi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wa melishwa propaganda na wamejawa na wivu, ata kama kuna kizuri Kenya, mitanzania cant appreciate, lazima wengi wao wajaribu kujikweza and yet tofauti is too obvious!! wamebaki ku cherry pick vipicha hapa na pale kujifariji tu.,🤣🤣
Wanaita shopping centers Ati cities
Ingine ni Dodoma vumbi tu utafikiri uko garissa
 
Ya Tz Juakali style no creativity,,cheki yetu venye tamu, under pass, Overpass, forked levelled roads,alot of creativity indeed
Hawakuwa na akili ya kufikiria vitu kama hizo. Hao wanapenda vitu normal za kupandana
 
Back
Top Bottom