Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe hyo article iliyoandikwa ya pangani after magu kuzingua...
Rukhsa kunengua
Unless uwe hujui maana ya three level👇🤣
550C7BF3-D5E9-4D39-B5B8-F055523A8A07.jpeg


mukihesabu floors hua munahesabu kwenda juu au chini???🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni sport gani watanzania wanajilinganisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

 
Sasa tukianza kuangalia cities with walkable spaces between Kenya and Tanzania mtawezana kweli?[emoji1787][emoji23]View attachment 1642963View attachment 1642964View attachment 1642965View attachment 1642966
Wewe sisi tuko na level yetu sio wakufananishwa na na jua kali km nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sidwwalks mnaweka tunawaona juzi juzi ndio mshindane na nani hasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....usirudie tena kuleta ujinga km huu
JamiiForums471142230.jpg
Screenshot_20200827-192319.jpg
JamiiForums-724906011.jpg
20201020_150946.jpg
JamiiForums1980694011.jpg
Screenshot_20200810-155418.jpg
JamiiForums-785753769.jpg
JamiiForums1502791627.jpg
JamiiForums627916420.jpg
JamiiForums953533928.jpg
JamiiForums1461863116.jpg
JamiiForums-1556857811.jpg
 
Haya[emoji15]hapa Ni UG wewe???,wako sawa sana,am shocked!!!!I think hi battle inatakiwa kuwa between Nairobi vs Kampla,, roads zao tamu Sana sjui tunajisumbua na Dar na hakuna kitu after kuona Kampla
Nani aliwashika mkono....sisi tuko bz nw na electric train...sio takataka ..km express way
 
Wewe sisi tuko na level yetu sio wakufananishwa na na jua kali km nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sidwwalks mnaweka tunawaona juzi juzi ndio mshindane na nana hasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....usirudie tena kuleta ujinga km huuView attachment 1643109View attachment 1643110View attachment 1643111View attachment 1643112View attachment 1643113View attachment 1643114View attachment 1643115View attachment 1643116View attachment 1643117View attachment 1643118View attachment 1643119View attachment 1643121
Kwa kweli umeumia, let's see which city got a beautiful walk ways[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20201205_194145.jpeg
 
Ndo mana nimekupa hongera maana tukifunga mpka wa tanga kuja mombasa baada ya mwaka tutakuta mombasa mnaongea sheng mpya kabisa ila sisi ni donar country tumeamua kuwapa atleast lugha na nyie mjidai.
Bwahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna hoja wewe, kwn tanga ina historia gani ya kiswahili.
We mpuuzi sana kumbe..
Tanga wanajua nn wale sasa kuhusu kiswahili, magwiji wa kiswahili ea wanatokea lamu, mombasa, zanzibar acha porojo..

Alafu kw taarifa yako mpka wa kenya na tz ulishawai fungwa na hakuna lolote..
Kwanza wadigo wa tanga si wengi wao roots ni kenya
 
nyie hii barabara ni ndefu na ina hatari sana.. nimepita jana kutokea mlandizi, watu wanaenda speed sana.. mistake kidogo tu (mfano brake kufeli) umekwisha
Hata mm nilipita km wiki tatu nyuma nimwendo wa kujiachia kusehem wameachia line 3 kila upande ...
 
Back
Top Bottom