Na historia ya kiswahili inaenda beyond sultan period, namaanisha sultan kakikuta kiswahili na akaweka capital yake pale zanzibar stone town lkn kabla ya hapo kulikua na wa kreole ambao kwa sasa wako mouritious, seyshells, reunion,comoro. Hawa watu walikua wanaishi pwani. Na walikua wanaongea kiswahili japo sio kama cha sasa. Ukitembelea comoro kikomoro kinasound kma kiswahili na hata maneno. Mouritious kuna kikreole poa ni kama kiswahili kwa mbali so hio ndo historia sio kwamba kimeanza mombasa na zamzibar.