Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya[emoji15]hapa Ni UG wewe???,wako sawa sana,am shocked!!!!I think hi battle inatakiwa kuwa between Nairobi vs Kampla,, roads zao tamu Sana sjui tunajisumbua na Dar na hakuna kitu after kuona Kampla
Hiyo ni Kampala broh[emoji23]. Uko Uganda barabara iko poa sana alafu hawapigi nazo kelele kama hawa wenye kumaliza 9km imewashinda[emoji23][emoji23]
 
Hiyo ni Kampala broh[emoji23]. Uko Uganda barabara iko poa sana alafu hawapigi nazo kelele kama hawa wenye kumaliza 9km imewashinda[emoji23][emoji23]
Wako sawa sana,si juakali roads Kama zile za Dar,🤣
 
Nairobi roads, Northern Bypass
jKz7mLT.jpeg
 
Ebu sema ni gani nimerudia? Usiposema basi wewe ni nguruwe[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Namba 4 na namba 8
Namba 6 na namba 11.

Izo ni nimepata fasta fasta. kwasababu picha katika different angles ila ungezipa majina ningepata zaidi. Though umeniita nguruwe but naamini niNJpanick tu na losing temper.
 
Haya😳hapa Ni UG wewe???,wako sawa sana,am shocked!!!!I think hi battle inatakiwa kuwa between Nairobi vs Kampla,, roads zao tamu Sana sjui tunajisumbua na Dar na hakuna kitu after kuona Kampla
Sure, nyie level yenu ni kampala asanteni kwa kuadmit battle closed.


NAIROBI VS KAMPALA ndo battle linafuta sisi

DAR VS JOHNESBURG
 
Namba 4 na namba 8
Namba 6 na namba 11.

Izo ni nimepata fasta fasta. kwasababu picha katika different angles ila ungezipa majina ningepata zaidi. Though umeniita nguruwe but naamini niNJpanick tu na losing temper.
Huoni venye wewe ni nguruwe?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Number 4 ni Southern Bypass-Ngong'Road interchange
Number 8 is Donholm interchange.

You can google those names to confirm for yourself[emoji23][emoji23]
Nairobi-southern-bypass.jpg

tapatalk_1607243753103.jpeg
 
Imeandikwa wapi lazima Kiswahili cha Kenya kifanane na cha Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji1787] Kenya and Tanzania is like Britain and USA, both have English as their main language but their English differ greatly.
Huezinifundisha...!! Duh hiki labda ni kijaluo,hakuna kiswahili cha namna hii popote pale. . ila umejitahidi kujitetea lakini utetezi wako hauna mantiki labda kwa walevi tu
 
Naona ushaanza kulia, ebu onyesha hizo picha nimerudia[emoji23][emoji23]
Yani ivyo vi interchange vinne vinamalizwa na babalao moja tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
12th interchange in Nairobi. Southern Bypass -Langata Road interchange. Wale watu wa interchanges mbili mpo?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
DdkRsRVW0AAcZ2t.jpeg
 
Back
Top Bottom