Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia Kisumu has two footbridges. Wewe hujui hata kuwa footbridge and pedestrian bridge ni kitu kimoja
Ulitaka uletewe pedestrian path! Ukaletewa footbridge ukaanza kubwabwaja watu wataona nani mjinga zaid yako
 
Aisee J.F inafurahisha sana hasa ukikutana na watu wajuaji kama ww kwaiyo pedestrian bridge ni tofauti na footbridge?? Ivi hawa ndo akenya mnaosema wanajua kingereza hata
( A na a)wanasema ni tofauti. Pedestrian bridge ni footbrigde kwasababu ukibadili kwa kiswahili yote yanakua madaraja ya watembea kwa miguu. Ukija na propaganda za baiskeli basi we ni mkenya hasaaaa..
Ni kusoma ndio hujui ama? Ni wapi nimesema pedestrian bridge and footbridge ni vitu viwili tofauti.
 
hapa sielewi vizuri ndege nne baada ya zile tano (moja ya mizigo) au hizi nne ni ndani ya zile tano? Inabidi wafafanue vizuri!
Yani tunadai ndege 3 amabayo moja inaingia mwezi huu na mbili zinaingia mwakani airbus A320 alaf kuna ndege nne mpya wame order tayar na advance payment tayar
 
Ile iwe three level mzee lazma iwe na ngazi mbili kwenda juu hakuna haja ya kuforce
Wewe naye ni mjinga kuliko wote hapa. Wapi imeandikwa lazima iwe na ngazi mbili kuenda juu? Kwa hivyo this interchange in Kolkata Indonesia sio three level interchange?

projeton121.jpeg
 
Hii Pangani inatesa watu akili kweli. The first and I repeat, the first three level interchange in East and Central Africa.
12582492_thikaroadgooodlaxiaafrica_jpeg7b1546eea5eef8f088f44a2a111bd513.jpeg
 
Waache hata wakirudia hawafiki 16. Kwaiyo we waombe waendelee kushusha mizigo japo naona wanarudia ila uhakikia hawafiki 16
Mbona u arudia hahahh mpka sasa mko na 4 tu...tena vitu vya level ya malawi
 
Yani tunadai ndege 3 amabayo moja inaingia mwezi huu na mbili zinaingia mwakani airbus A320 alaf kuna ndege nne mpya wame order tayar na advance payment tayar
basi wamepunguza idadi maana bajeti ya 2020-2021 walisema wananunua ndege tano nne abiria na moja ya mizigo!
 
basi wamepunguza idadi maana bajeti ya 2020-2021 walisema wananunua ndege tano nne abiria na moja ya mizigo!
Sijui mimi ndo sikuelewa au nimesahau sio kwamba izo ndege 5 zilikua kwa miaka 5 ijayo??? Kwaiyo labda hapo ndio mwanzo??
 
Back
Top Bottom