Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sasa hamna mpinzani kwa upande wa slums, kubali kwanza hilo,halafu hayo mambo ya kubomoa sijui flyover yaje baadae
Najua jinsi ilivyo ngumu kwa mkenya kumiliki ardhi katika nchi yao wenyewe

Ni rahisi kwa muhindi kutoka india kumiliki ardhi kuliko mkenya aliyezaliwa kenya..
When we say kenya is failed state,we mean it
Naona unatafuta pa kutokea sio, sasa kw taarifa yako kenya watu wanamiliki ardhi na pia ukijiskia unanua na hakuna siku utaambiwa imeisha..

Mashinani upande wa kule kwetu ardhi imejikalia hadi vijana katika jamii wameanza kugaiwa ardhi. Yani unapewa unafyeka
 
Haya😳hapa Ni UG wewe???,wako sawa sana,am shocked!!!!I think hi battle inatakiwa kuwa between Nairobi vs Kampla,, roads zao tamu Sana sjui tunajisumbua na Dar na hakuna kitu after kuona Kampla
Enhee kampala mtawezana maana ndo level yenu
 
Bro wanaweza wakawa na zote hizo sio ajabu Ila tukiangalia swala la quality tunawapiga chini mwisho wa siku Tanzania tuko juu tanajenga vitu first class kumbuka zarau zao zitakuja kufika mwisho insha'Allah
 
Na namba 1 ndio southern bypass au ndo iyo iyo kama ndo iyo basi ni picha ya 3 iyo.
View attachment 1643008
Nani amekudanganya Southern Bypass iko na interchange moja? All these interchanges ziko Southern Bypass.

1. Southern Bypass-Mombasa road interchange.
2.Southern Bypass - Ngong'Road interchange
3. Southern Bypass- -Langata Road interchange
4. Southern Bypass- Redhill Road interchange
thumb_part_of_southern_byp5dc11c550a586.jpeg
Nairobi-southern-bypass.jpeg
DdkRsRVW0AAcZ2t.jpeg
south7.jpeg
 
nyie hii barabara ni ndefu na ina hatari sana.. nimepita jana kutokea mlandizi, watu wanaenda speed sana.. mistake kidogo tu (mfano brake kufeli) umekwisha
Iko poa kweli hata mm ni nmeitumia ijumaa...sasa foleni lote limehamia Kibaha-Mlandizi
 
Miongoni mwa miradi ambayo hainitishi basi ni huu, cz najua mmekurupuka ili kwenda sawa na Tz lkn wp, hii inapigwa chini fasta kabla hata haijazinduliwa, mapema sn hapo April 2021 huo mradi utakuwa ushazikwa na modern bullet train ukizingatia hiyo express way ni the biggest white
Emu rudia train
Kumbe huu mradi unawaumiza sana jamani
 
Back
Top Bottom