Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There are only four countries in sub Saharan Africa with that type of interchange.
South Africa.
Nigeria
Ghana
Kenya.

Remember all those countries are far much developed than Tanzania
Jamaa anapenda kujitoa ufahamu sana huyo
 
Mbona unarudia n ...nilish kwambia hii syo interchange ni overpass
Hahaha nimewaambia mtanzania hawaziniambia anything kwa mambo za barabara. Google Museum hill interchange alafu ujielimishe huko
9247451742_c2fd36014d_b.jpeg
 
🤣🤣🤣Dar ata haiwezi Kampla sumbuse jbourg
Vipi kwqni kampala inawasumbua uko Nairobi maana sisi tulishatoka uko zamani na hatuaangaliagi nyuma sisi tunaenda mbele so kampala tutawapa Arusha wamalizane nae kuisave Nairobi.
 
Alowaomba wakenya izi niterchange amenifanya nijue kumbe hata izi vitu wanazosema wanazonyingi kumbe hawana yani interchange+flyovers+overpass Nairobi hazifiki 11. Yani wametuzidi chini ya 5. Maana sisi tuna 3, na 3 nyingine ziko U/C so jumla 6. Ila kelele zao na dharau utafikiri wao zinafika angalau 15.
Akili yako ya kidwanzi kwel
 
Sasa nani anataka izo namba umeambiwa weka picha na jina umeshindwa kufika hata 8. Umebaki unarudia tu. Hata kama ziko 100 weka picha afu unaipa jina. Sio maneno tu hata me naweza sema dar zipo 100 na nyingine 200 underconstruction.
Wivu m'baya jamani, sasa si ulitakiwa wewe uweke hzo alizorudia ndio umkamate wenzio waanze kunengua manake kitambo wanahamu viuno bado havijakata
 
Tanzania yote kuna interchanges mbili na overpass moja. Nairobi alone has 20 interchanges pekee. Remember expressway will have 11 interchanges and western Bypass will have more than seven interchanges which will bring the total number of interchanges to more than 40
Kumbe ita...sio inazo
 
Back
Top Bottom