Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu mwenye picha ya mradi wa foot bridge ya pale Mbagala rangi tatu aweke tuyatishe haya makunya plz
 
Hahahaaaa, cku hz mmekuwa waoga kweli unaambiwa weka actual picture unaweka illustration yenye maelezo yaliyoandikwa na mkenya
Nimekuambia Dar is ten years behind Nairobi. Try to play catch up with Mombasa first before you can dream about getting mentioned with Nairobi in the same sentence.
 
Unaonyeshwa pedestrian path wewe unaonyesha maji. Uko na akili kweli wewe?
Tatizo hazikutoshi, tangu lini kisumu ikawa na modern footbridge? 👇Mwanza
1548918_thumb_189_800x420_0_0_auto.jpg
 
Hayo maeneo yote uliyotaja hakuna anayemiliki km vile hko kwenu..
Yote ni maeneo ya serekali anytime wanainua flyover ama ile housing project
Kwa sasa hamna mpinzani kwa upande wa slums, kubali kwanza hilo,halafu hayo mambo ya kubomoa sijui flyover yaje baadae
Najua jinsi ilivyo ngumu kwa mkenya kumiliki ardhi katika nchi yao wenyewe

Ni rahisi kwa muhindi kutoka india kumiliki ardhi kuliko mkenya aliyezaliwa kenya..
When we say kenya is failed state,we mean it
 
Three level interchange at Changamwe. Hii ikiisha Dar haitaambia Mombasa anything

View attachment 1642510
Intetchange zinatakiwa mjini palipo na msongamano wa magari .sasa hapo pa kuweka roundabout ninyi mnaweka interchange likiisha wachina wamepata wao ajira na fedha juu.
Mnaacha vijana wenu .mtuige sisi tunavyojiamlia ajira na kutumia fedha za umma.
 
Nairobi ilikuwa na three level interchange even before Tanzania ianze kuota ndoto za overpass. Ikifika kwa mambo za barabara please don't compare Nairobi to that your fishing village with less than two interchanges
Embu jaribu kuleta iyo three level interchange nicheke isije kuwa ni ule uchafu wa pangani sijui nn
JamiiForums1613990466.jpg
 
Back
Top Bottom