Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali hayo mabanda covers only 1.5 square kilometers of Nairobi land. You can't compare with the infamous dream houses of Dar that covers 2/3 of the city.
Swali, inawezekanaje binadamu wa kawaida kuishi katika yale mabanda ya Kibera, bila vyoo, maji au hata hewa ya Oxygen?
 
Afadhali hizo zinasafirisha binadamu. Hizi hapa chini sinafaririsha nini? Sokwe? View attachment 1638223View attachment 1638224View attachment 1638225View attachment 1638226
Picha ya pili, ni sehemu gani Dar wanatumia hizo vipanya? Halafu Kingine vodacom walishabadilisha rangi na logo zaidi ya miaka kumi iliyopita sasa hivi wanatumia rangi nyekundu.

Picha ya tatu, hiyo logo ya ACB bank mbona nayo ilibadilishwa...hiyo picha ni ya mwaka gani?

Picha ya nne, ni Temeke sehemu gani wanapanda hizo vipanya sasa hivi?

Kazi ni kuokota okota picha mitandaoni ili mshindane na Dar
 
Hiace zinakaribia miaka 10 sasa aziingi city center
Huu ushamba huezipata Kenya?

View attachment 1638234View attachment 1638233
dirishani.JPG
 
Picha ya pili, ni sehemu gani Dar wanatumia hizo vipanya? Halafu Kingine vodacom walishabadilisha rangi na logo zaidi ya miaka kumi iliyopita sasa hivi wanatumia rangi nyekundu.

Picha ya tatu, hiyo logo ya ACB bank mbona nayo ilibadilishwa...hiyo picha ni ya mwaka gani?

Picha ya nne, ni Temeke sehemu gani wanapanda hizo vipanya sasa hivi?

Kazi ni kuokota okota picha mitandaoni ili mshindane na Dar
Hatushindani na Dar. We are here to entertain you. Nairobi is miles ahead kushindana na Dar. Hata huu uzi ilianzishwa na mtanzania
 
Hatushindani na Dar. We are here to entertain you. Nairobi is miles ahead kushindana na Dar. Hata huu uzi ilianzishwa na mtanzania
Uzi unasema hivi

"Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza."

Yaani unakesha mitandaoni kuokota picha za miaka kumi iliyopita ya Dar

Halafu badala ujibu vitu nilivyo kuuliza unajifanya huvioni,

Wewe ni Certified nincompoop.
 
Hivi yale mabanda pale Kibera na Korogojo unaweza kusema wanaishi juu ya miti au maeinguni?. Yale mabanda hata nguruwe wa Tanzania hawezi kulala, hali ni mbaya sana.
Huenda hali ni mbaya kibera, na hakuna anayekataa ila kibera is only 2.5 square kilometers. Can you compare that size with the dream houses of Dar that cover 2/3 of the city? How do you even start comparing the two?
Screenshot_20200320-171048.png
Screenshot_20200320-170923.png
Screenshot_20191110-193507.png
Screenshot_20190928-132332.png
Screenshot_20190928-132128.png
Screenshot_20200512-103234.png
Screenshot_20190926-172636.png
 
Huenda hali ni mbaya kibera, na hakuna anayekataa ila kibera is only 2.5 square kilometers. Can you compare that size with the dream houses of Dar that cover 2/3 of the city? How do you even start comparing the two? View attachment 1638242View attachment 1638244View attachment 1638245View attachment 1638246View attachment 1638247View attachment 1638249View attachment 1638250
mnatakiwa muingie kwe maajabu ya dunia asee mkuojuuu mtabakia kileleni 😁😁😁 2.5 square km kwa watu 2.8mln si mchezo mazee
 
Back
Top Bottom