Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Kenya ni kama Tanzania tu. Ukiprotest polisi wanakupiga risasi. Inabidi kila mtu anamind shughuli yake. Kimbele mbele mingi itafanya mtu aondoke duniani kabla wakati wake kufika. Hata nyinyi mlishindwa kuandamana wakati CCM iliiba kura.
Khaa kumbe sometimes akili yako hufikiria vizuri?!
 
Akiambiwa alete picha za slum kwa ground anambwela
Temeke kwenyewe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
00221442%3A15764581316b0e00980732791c31c382%3Aarc614x376%3Aw1200.jpeg
 
Sasa leo hamtaki World Bank?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona hamkupinga vile waliwatoa kule LDC?[emoji23][emoji23][emoji1787]
World bank kukokotoa revenue over population inamake sense ingawa wakiamua kukushusha kwa maslah ya wazungu watafanya wanavyotaka thats why tunasema humu mara kwa mara world bank wakiwa waungwana TZ ni tajiri kuliko wanaturank now.
Pia hata swala la poverty, waoneshe jamii hata moja ya watu wanaoishi kwa povrty kama ilivyo kwenu turkana na nairobi wanakopikia watoto mawe
 
Back
Top Bottom