Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kumanisha siku hizi mnalala hadi kwa choo?
Kumbe unajua kuwa ni choo? sasa hapo inaonekana ni kwenu. Hayo makazi yanaonekana kabisa ni ya Nairobi, huwezi kuishi kwenye nyumba hazina upenyo DSM na ukawa hai
 
Kama mwendo ni huo basi hakuna cha kujivunia hapa. Mbona niingie kwenye basi kisha nibanwe na watu mithili ya gunia za mahindi kwenye kona? Alafu nijione eti natumia huduma bora ya usafiri!! Eti nivumilie kusimama kando ya mtu ananuka makwapa na mdomo! No nimelipa nauli!!!!

hiyo BRT bus unaona ina hanger za kushikia,zimetengenezwa mahususi kwa kazi hiyo,na iko na coridor pana kwa ajiri ya kusimamisha watu.

huo ndio usafiri wa umma.
 
hiyo BRT bus unaona ina hanger za kushikia,zimetengenezwa mahususi kwa kazi hiyo,na iko na coridor pana kwa ajiri ya kusimamisha watu.

huo ndio usafiri wa umma.
Nionyeshe corridor pana hapa na Kama ipo mbona watu wabanane?
7 (3).jpg
thumb_wp_20160612_084_1024.jpg
 
Back
Top Bottom