Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani sijui bado sana...hapo hatuja sogea upangaView attachment 1635639
Hii bado Sana na pia outdated apartments
Check out kili..
EhZmVIzX0AI9EYE.jpeg
2371032_2278698_segunfagbami_20200121_32.jpeg
2425885_IMG_20200612_184101.jpg
2450167_tapatalk_1594201358866.jpg
2450167_tapatalk_1594201358866.jpg
 
Zimeagizwa ili kuongeza route africa na duniani kumbuka kq inamiliki ndege tatu chakavu pamoja na loss usisahau weka akilini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hujajibu swali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zikifija ndio mtarudi sauzi au la msemaji mkuu wa ATCL jicho boy
 
Mali ya serekali mbona basi mlipie toll fee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si umesema nynyi mnatumia pesa za ndani ndio watanzania wafaidi imekuaje tena
Kwan kuna ubaya tukachangia serekali yetu nyie mutamchangia nani mchina miaka 30😀😀 ushuru 600ksh watakaopita hapo mutanihesabia
 
Nikubali nn wakat ni nssf na serekali zote mali ya serekali au hujui hilo sasa kwenu ni mchina miaka 30[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Km pesa za serekali mbna msitumie bure km ile highway ya kwenda chatto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zakuambiwa changanya na zako, hela za ndani hku wnaanchi wanatozwa toll fee na deni la taifa kupanda maradufu kuliko awamu zote[emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom