Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just confirmed hawa wanaenda kufuata mabehewa, Nimeukiza wamesema ya Korea tofauti na haya wanayoyafuata ni mengine.
Kuna wakati nilitaka kucomment hapa kwamba kuna uwezekano tumeagiza behewa kutoka kampuni tofauti.
 
Treni za umeme zioi hzo
Mtanzania gani ambae huyo ashawai panda treni ya umeme hko bongo..

Yani sgr bado mtaiskia tu mpka ile siku mtalipa hela za wenyewe
tulia basi mbona una mapepe siku hio nitakutafuta bro 😅😅😅😅

hata mwanzo ulisema hvo hvo leo ina over 90%😂😂😂😂😂

 
Naona mziki inachange
1.Ulianza kwa kusema kuwa expressway haitawaijengwa.
2.Ukaenda kwa kuitisha construction board
3.Sasa saa hii unasema kuwa haingekuwa juu ya ppp haingejengwa.

Kwani mwanzoni venye ulikuwa unasema haitawaijengwa hukujua ni PPP?
Kama kwa ppp sawa ila serekali itoe 600m usd inatoa wapi kwa mfani ikiwa pesa ya kulipa salaries hakuna just imagine 😂😂😂

Kama kwa hiii ppp kua mchina ataichukua kwa miaka 30 huku mukikamuliwa hapo sawa uzuri wa mchina habahatishi


E0989A60-1686-439F-8823-8A1084EC79DA.jpeg
 
Kama kwa ppp sawa ila serekali itoe 600m usd inatoa wapi kwa mfani ikiwa pesa ya kulipa salaries hakuna just imagine

Kama kwa hiii ppp kua mchina ataichukua kwa miaka 30 huku mukikamuliwa hapo sawa uzuri wa mchina habahatishi


View attachment 1634919
Jibu swali kijana, venye ulikuwa unasema haitawaijengwa kwani hukujua ni PPP?
 
Jibu swali kijana, venye ulikuwa unasema haitawaijengwa kwani hukujua ni PPP?
Sikujua ni ppp nilijua kenya ndio inajenga kwa pesa zake ndio maana nikasema za kulipa madaktari mishahara hamuna hio pesa munatoa wapi😂😂😂😂😂

kumbe mchina miaka 30 ni yake alaf akiwakamua 600ksh per car hapo sawa 👇👇👇👇👇
21C07473-2E5E-405C-BEC3-64E5E6F386EE.jpeg
 
Sikujua ni ppp nilijua kenya ndio inajenga kwa pesa zake ndio maana nikasema za kulipa madaktari mishahara hamuna hio pesa munatoa wapi

kumbe mchina miaka 30 ni yake alaf akiwakamua 600ksh per car hapo sawa
View attachment 1634974
Naona hii barabara inakuuma sana. Mbona usiandikie wachina barua wapeleke hii barabara Tanzania ?
 
Back
Top Bottom