kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Hio mimi sijawahi kuisupport. Nyingine ambayo sijawahi kuisupport na nafurahi ilikufa kifo cha mende ni Mombasa - Nairobi expressway. Ile ambayo ilikuwa ijengwe na kampuni ya US inayoitwa Bechtel. Tatizo yenu Wabongo ni kuwa hamtaki mradi wowote ujengwe hapa Kenya. Hata SGR hamkuwa mnataka ijengwe. Hata Lamu port pia hamtaki. Huo ni wivu tu. Lakini tunawaelewa ndugu zetu.So kama unajua inaeza isijengwe kwann hua munashadadia vitu hamuna uwezo navyo ๐๐๐๐๐ sio hio tu ni projects nyingi sana kenya mumefeli pasipo kujitambua
hatutaki kivp? SGR and Lamu zilianza kitambo na zimelega kitambo! wacha kuleta blame kwetu ambia Uhuru na Chinese financiers!Hio mimi sijawahi kuisupport. Nyingine ambayo sijawahi kuisupport na nafurahi ilikufa kifo cha mende ni Mombasa - Nairobi expressway. Ile ambayo ilikuwa ijengwe na kampuni ya US inayoitwa Bechtel. Tatizo yenu Wabongo ni kuwa hamtaki mradi wowote ujengwe hapa Kenya. Hata SGR hamkuwa mnataka ijengwe. Hata Lamu port pia hamtaki. Huo ni wivu tu. Lakini tunawaelewa ndugu zetu.
So umekasirika tayari๐๐๐ muone daktari kwa maumivuSource yako ni maneno ya majukwani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Na hii ni wapi bujumbura au๐๐๐๐๐Utaumizwa na Mombasa wewe
View attachment 1632223
Hatutaki vipi wakat miradi munajenga inabakia white elephants na bado ni loan projects alaf leo munaski more than 70% debt to GDP ratio munashtuka๐๐๐ SGR imebakia white elephantHio mimi sijawahi kuisupport. Nyingine ambayo sijawahi kuisupport na nafurahi ilikufa kifo cha mende ni Mombasa - Nairobi expressway. Ile ambayo ilikuwa ijengwe na kampuni ya US inayoitwa Bechtel. Tatizo yenu Wabongo ni kuwa hamtaki mradi wowote ujengwe hapa Kenya. Hata SGR hamkuwa mnataka ijengwe. Hata Lamu port pia hamtaki. Huo ni wivu tu. Lakini tunawaelewa ndugu zetu.
Wivu gani bro wakat hzi ni media zenu wenyewe๐๐๐๐๐๐Hio mimi sijawahi kuisupport. Nyingine ambayo sijawahi kuisupport na nafurahi ilikufa kifo cha mende ni Mombasa - Nairobi expressway. Ile ambayo ilikuwa ijengwe na kampuni ya US inayoitwa Bechtel. Tatizo yenu Wabongo ni kuwa hamtaki mradi wowote ujengwe hapa Kenya. Hata SGR hamkuwa mnataka ijengwe. Hata Lamu port pia hamtaki. Huo ni wivu tu. Lakini tunawaelewa ndugu zetu.
๐๐๐๐๐ ww subiri na hii nairobi express uone mchina atakavowakamua vzrhatutaki kivp? SGR and Lamu zilianza kitambo na zimelega kitambo! wacha kuleta blame kwetu ambia Uhuru na Chinese financiers!
Jamaa huaga haamini kabisa[emoji23][emoji23]Utaumizwa na Mombasa wewe
View attachment 1632223
Si nakusaidia ku zoom vitu kw ground[emoji23][emoji23]Kwan hii kapost nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1632219
Source youtuber tena katoa kutoka kw maneno ya majukwaani[emoji23][emoji23]So umekasirika tayari[emoji23][emoji23][emoji23] muone daktari kwa maumivu
You need to reread and understand what I said badala ya kupiga kelele pasi na uelewa. The first person to mention population is him, not me. Go back, read, understand then come back later.na uliposema idadi ya watu ndio sababu akili uliacha wapi???
Huyo dickhead anakuwanga mjinga sana. Tunawaambia hapa kila siku kwamba level ya Dar ni Mombasa lakini hawasikiiUtaumizwa na Mombasa wewe
View attachment 1632223
Kisha nimalizie na billboard ya expressway ๐Umekasirika tuoneshe render ya nairobi 88 plz ๐๐๐๐๐
You need to reread and understand what I said badala ya kupiga kelele pasi na uelewa. The first person to mention population is him, not me. Go back, read, understand then come back later.
ogopa sana....Hawa ndio kiboko ya mabeberu.
View attachment 1632358
Kilaza ni wewe usiokubali kwamba ni kilaza mwenzako ndio alianza hii issue ya populationwacha viingereza mob pointless.
umeulizwa kama hearth service qualities kigezo cha kuishinda corona kama ulivyobeza tanzania!!!kwanini nyinyi mna wagonjwa wachache ukilinganisha na US!!!
ukakurupuka na pop,ulivyo wa ajabu ukasahau.tunakufuatilia kwa ukaribu sana unachoandika,usidhani unabishana na vilaza wenzako hapa.
Kilaza ni wewe usiokubali kwamba ni kilaza mwenzako ndio alianza hii issue ya population
Are you dumb ,fool or idiot? On my comment were did i say any thing about saving kunyans...spare me with your monga pass leftTanzania can't even save itself and you are talking about Tanzania saving Kenya
Believe what you want to believe I have no problem with that [emoji23][emoji23][emoji23]