Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


wenzake kimoyomoyo wanasema

‘maliza huyo’ mana sisi hatujamtuma
IMG_1605902462.463718.jpg
 
Y'all really arguing about how good or bad these muthaluvas look?

Imma let y'all be great
 
Makasiriko ya nini?

Kwani ni Tanzania ndio imeleta corona kunyaland!

Juzi nilikuambua uthibitishe kuwa Tanzania kuna corona,

Na mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai lakini hadi leo hii hujathibitisha kumaanisha kuwa ulikuwa unabwabwaja tu ovyo.

Cc The best 007


View attachment 1630569
Sina makasiriko. On the other hand, wewe ndio uko na makasiriko to the point you resort to character assassination of people you don't even know and will never meet. About corona, it's so difficult to deal with a programmed mind like yours. Mshaaminishwa nyinyi ndio nchi pekee duniani ambayo haina corona so endelea kuamini hivyo. You are doing better than even developed countries
 
So mbona hatufi sasa kama mlivotabiri nyinyi 😂😂😂 manake mulisema baada ya miezi mitatu tutaanza kuokota maiti barabarani mbona hatuzioni sasa??? Kisa inawaua nyinyi sasa munataka na sisi tufe fala kabisa ww, hakuna nchi ina huduma mbovu za afya kenya na bahat nzuri mm mwenyew nishawah tibiwa when i was there kila kitu rushwa imejaa mpaka kwa mfungua geti la hospital😃😃😃😃😃
Nini ilikutoa Tanzania nchi ya maziwa na asali kuja kutafuta kwa walaji rushwa? Si ungebaki huko huko? 😂
 
Tuoneshe sehemu munajenga nairobi 88 😂😂😂😂😂 hebu tuoneshe tena mamaee munaona watu vipofu humu toka 2016 munajenga sasa tuineshe hio sehemu mumejenga toka 2016 hapa😅😅😅😅
Hizi povu zako tumezoea. You asked the same questions about GTC, Ngong road, SGR, Expressway etc. Mwishowe unaibika tu
 
Bring evidence of each year's budget since the start of the project! BTW what came to Konza city was Kshs 6.3 bln, 9th year down the line as the only money invested so far out of $14 bln needed to make the place a reality!


Stop dreaming and come back to reality. Such cities are not built overnight. They take ages. Years of planning, sourcing for funds, marketing and finally hitting the ground running. Sio kama kukaanga karanga za diamond ama kutengeneza toast mayai.

Konza city is progressing well. At least there is work going on kwa ground. Currently, they are laying down the much needed infrasture to make the city a success. Ama ulitaka kuona maghorofa zikiinuka kila kona ndio ujue inajengwa? It doesn't work that way
konza_7ad57531bbb8e477c4ec993b675f0e78.jpg
Konza-infrastructure-768x432.jpeg
axwpnwhup14ub5tiz55d0d26dcc8cb1.jpg
konza-696x463.jpg
konza-007a.jpg
DJI_0060-768x432.jpg
konza_7ad57531bbb8e477c4ec993b675f0e78.jpg
 
Back
Top Bottom