Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No wonder we never understand or recognize you as middle income country since 2014 , poor you....Hamna tofauti na Somalia, maskini wa Tz hawezi kufa kwa njaa, can your country say the same?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
20201116_233021.jpg
 
Sai unajitia unawajali hao jamaa, lkn ile siku serikali itawapokonya hzo silaha na wavamiwe wauliwe wote..
Utarudi hapa kunengua[emoji1787][emoji1787]
Sasa kw taarifa yako wajilinde km walivyoamua kuishi msituni na kutengeza maadui kutokea jadi..

Wakivamiwa na wao wajipange wakavamie, mkitaka tuwapokonye kawambie waganda na wale wa south sudan ndio tukae mezani..
Lkn ombi lako peleka chato
So umethibitisha kuwa serikali yenu imeshindwa kulinda mipaka yake na raia wake?
 
BRT wapi thika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile lipstick...embu kalale uko
haya mambo hayataki hasira kijana
 

Attachments

  • index (1).jpeg
    index (1).jpeg
    246.3 KB · Views: 18
  • index (2).jpeg
    index (2).jpeg
    284.8 KB · Views: 18
  • index.jpeg
    index.jpeg
    245.4 KB · Views: 20
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so that old pedestrian bridge is the prove of BRT[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
are you that slow.....well suit yourself
 
Bwana uhuru chang'aaa naona anajitaidi kuwalubuni habaki tena madarakani kwa ilo daraja la nairobi.

Watz tunapiga huku na kule
Huku mwendokasi
Kule sgr
Kule rufiji hydropower
Huku flyover za mwendo kasi
Na nataka nikwambie tulia ivoivo mwezi huu tunazindua stand ya mabus ya kimataifa pale mbezi.
Wanachekesha sn hawa wazembe yn miradi yote tunayofanya eti watusumbue na expressway pekee, yn wakenya baada ya kuona tunawacharaza ndo wamebaki kujifariji na ushuzi wa expressway [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
my friend ata heri unyamaze...tuko na nairobi expressway,tuko na western bypass,,kuna southern bybass to icd,kuna dualling of nai to makutano,brt kule thika road inajengwa,,mombasa ndio balaa,,,tafuta jomvu to msa road project,flyover kama zote kuna dongo kundu just but to name a few...kasi ya kenya huwezani nayo nanii
ichoboy01 ckia huku eti brt[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
So umethibitisha kuwa serikali yenu imeshindwa kulinda mipaka yake na raia wake?
Naona sindano zimeanza kukuingia sio, mbna wamasai kw upande wa kenya na tanzania husemo km mumeshindwa na jamaa wanavuka daily
 
Naona sindano zimeanza kukuingia sio, mbna wamasai kw upande wa kenya na tanzania husemo km mumeshindwa na jamaa wanavuka daily
Sindano ziko wapi hapo?

Unaulizwa hiki badala ujibu unaandika ujinga nenda kabishane na wajinga wenzako usije niambukiza ujinga wako.
Jwn mpka watu wafe barabarani ndio ionekane ugonjwa upo..
Italy kwnywe tu sai watu hawaanguki tena barabarani
Baki na ujinga wako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so that old pedestrian bridge is the prove of BRT[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
that is the contractor steacol corporation setting camp..maybe that will help you
 
Sindano ziko wapi hapo?

Unaulizwa hiki badala ujibu unaandika ujinga nenda kabishane na wajinga wenzako usije niambukiza ujinga wako. Baki na ujinga wako.
Si unajibiwa kulingana na uwezo wako wa kufikiri...ama ilikua wataka nikubaliane na wewe km maradhi huangamizwa kw kutopimwa au waturkana na wenzao kuingiliana ni kushindwa kulinda mipaka lkn wamaasai ni sawa
 
Back
Top Bottom