Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali haishindwi kujenga bandari ya bagamoyo iwe kwa mkopo ama pesa za ndani,kivyovyote vile bandari ingejengwa ila wameona haitakaa sawa ki-uchumi,pili bagamoyo na dar ni karibu sana,sasa kwa nini ijengwe bandari upya na kutumia hizo fedha kuboresha bandari ya dar?!tatu,kama ingejengwa ingepelekea bandari ya dar kuzorota

Mwisho,
Serikali haiwezi kushindwa kupata fedha za kujenga bandari,iwe own funds au loan..get up!
Stop shooting yourself in the leg. Bagamoyo kuwa karibu na bandari ya Dar isiwe kisingizio. Like any other business, good marketing and proper management would have made Bagamoyo prosper even if it's close to an existing port. How far is Lamu port from the port of Mombasa? Has that stopped Kenya from building Lamu port? The answer is no! Stop looking for silly excuses.
 
Sasa unaongelea lamu port kuwa karibu na Mombasa kwn hujui kama Kenya ni failed state and shit hole country? Usilazimishe tufanane cc co shit hole country.
 
Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa kujenga bandari ya Bagamoyo wakati Dar na Bagamoyo ni karibu?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Dar es salaam ipo kwenye upanuzi?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Tanga ipo kwenye upanuzi?

Kwanini tukubali masharti ya kijinga yenye kuumiza taifa wakati bandari ya Mtwara ipo kwenye upanuzi?

Hatufanyi vitu kwa kurupuka kisa tu muwekezaji ndio anatoa pesa bila kuangalia mbele,

Hii ni Tanzania mpya chini ya Jemedari JPM,

Miradi ya kijinga aka white elephant tumewaachia wakunya...Next Sri Lanka of East Africa (Debt trap)
Wakati mlikuwa mkiingia mkataba na kufungua nyuzi hapa JF za kusifu bagamoyo port hamkuwa mnajua hizi zote? Visingizio, visingizio, visingizio!!
 
Sasa unaongelea lamu port kuwa karibu na Mombasa kwn hujui kama Kenya ni failed state and shit hole country? Usilazimishe tufanane cc co shit hole country.
A failed state yenye inatamba ukunda huu wengine wakisoma number 😂 😂 😂
 
[emoji23][emoji23]
FB_IMG_16055291898944732.jpg
FB_IMG_16055291961070088.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatamba kwenye nn ss mana ufukara mnatuzd unemployment rate mnatuzd, kukosa umeme wa uhakika mnatuzd, slums na uchafu kwa ujumla mnatuzd je mnatamba kwenye nn?
Ufukara?? 😂 😂 😂
Masikini wa kutupwa hapa EA wanajulikana
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Ufukara?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masikini wa kutupwa wanajulikana hapa EA
View attachment 1627669
ichoboy01 ona huyu chizi anavyojipiga kidole, naomba umuwekee ile picha ya failed state na fukara wa kutupwa hapa EA mana mm cm yng ile yenye ushahidi wa picha imeingia virus.

Hahshahaaa yn ukitaka hz mambo utakimbia humu mana hamna mpinzani Africa hii.
 
@ichoboyoi01 ona huyu chizi anavyojipiga kidole, naomba umuwekee ile picha ya failed state na fukara wa kutupwa hapa EA mana mm cm yng ile yenye ushahidi wa picha imeingia virus.

Hahshahaaa yn ukitaka hz mambo utakimbia humu mana hamna mpinzani Africa hii.
Kasharamba dawa tayari😂😂👇👇

Back
Top Bottom