komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Comment ya chuki hii[emoji1787][emoji1787]Inatamba kwenye nn ss mana ufukara mnatuzd unemployment rate mnatuzd, kukosa umeme wa uhakika mnatuzd, slums na uchafu kwa ujumla mnatuzd je mnatamba kwenye nn?