The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ss wewe unavyoona hapo kuna nn zaidi ya ghorofa moja pekee? Au ni yale maghorofa ya kwenye render ndiyo unajivunia nayo? Kenya bhn yn mnapoteza pesa nyingi kwa upuuzi ambao gharama zake hamziwezi, ilipasa hyo pesa ya ku dizain Konza city mpeleke maji, umeme na hospitali kule kwenye ma slums ya kidunia yanayotesa wananchi wenu na co hz ndoto za alinacha mko nazo.Kama hujui kitu sema uelezewe. Usilete battle kwa kila kitu. Hii ni asilimia moja? Wavuta bangi wamejaa Tanzania
Jengeni mambo muhimu kwanza kama sisi tunavyofanya zen hayo mengine luxury yatakuja automatically.