Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1% ilipita kitambo nimekuambia 2030 ikifika kabla konza haijaisha unitag
Ilipita wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ tuambie lini ilipita ili mm nifunge acc jamii forum
A2502DC2-D9FC-4AF0-AD97-73100AA0B314.png
 
Which resilience?, KQ is becaming headeque to the Goverment, without Nationalization of KQ can't last even for one month, due understand the real meaning of resilience?
So you want to lecture me? KQ will not be Nationalized,huko tulitoka na bado yapaa angani,from one continent to another
 
Hawa wadada huwa wananipa raha mnoo [emoji7][emoji7][emoji7]

Tanzania mabingwa COSAFAWU17 [emoji471]

FT': Zambia [emoji1268] 1-1 [emoji1241] Tanzania

Penati: [3-4]
[emoji1268] - [emoji736][emoji736][emoji736][emoji777][emoji777]
[emoji1241] - [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji777]

View attachment 1626407View attachment 1626408
Na si nihawa tulichapa final juzi home ground,ama Ni wepi?
 
That is how business, profit and loss,, the important thing is resilience,that what KQ is doing,
Still loss eating u 8 good yrs๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ + 3 owned aircrafts alaf muko hapa kupanua makalio ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Alipwe kwa kesi gani wakat south africa alifanya figisu kwa air tanzania manake alianza kuzidiwa nguvu kwa huduma bora za air tanzania
Mkuu ni muhimu na lazima alipwe, ni haki yake na tunapoteza mapato mengi kwa kushindwa kumlipa, tutashindwa kwenda routes za Ulaya pia tukiendelea na huu mvutano
 
So you want to lecture me? KQ will not be Nationalized,huko tulitoka na bado yapaa angani,from one continent to another
Huo ndio ujinga wenu wa kufanya biashara za hasara kwa kupenda sifa za kijinga, kila mwaka mnatengeneza hasara kote KQ na SGR, mzigo wote mbawabebesha wananchi wa Kibera kulipia hasara.

Binakuhakikishia 1000% KQ lazima iwe "Nationalized", less than that it will collapse
 
Alipwe kwa kesi gani wakat south africa alifanya figisu kwa air tanzania manake alianza kuzidiwa nguvu kwa huduma bora za air tanzania
Kwa hivyo Air Tanzania ambayo hata haisafirishi abiria nje ya bara hili inapea South Africa Airways competition hadi wanaamua kuwakandamiza? Aisee hiyo bangi unayovuta weka chini
 
Nikutag na 1% of the render haijanusa unakichaa wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tatizo ni kuwa huwa umejifungia huku kwenye Dar vs Nai kama mfungwa. Zunguka katika nyuzi zingine utaona ujenzi wa Konza ulipofikia.
 
Back
Top Bottom