Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo Air Tanzania ambayo hata haisafirishi abiria nje ya bara hili inapea South Africa Airways competition hadi wanaamua kuwakandamiza? Aisee hiyo bangi unayovuta weka chini
Ndio maana hua nasema kuongea english sio kuelimika yani ww hata bishara ya airline huijui wewe😂😂😂😂
 
Tatizo ni kuwa huwa umejifungia huku kwenye Dar vs Nai kama mfungwa. Zunguka katika nyuzi zingine utaona ujenzi wa Konza ulipofikia.
Sasa nairobi nilikua dec utanieleza nn wewe😂😂😂😂😂 konza haijafika hata asilimia 1% ya render alaf mpuuzi anaongea tu anafkiri wote wageni humu
 
Sasa nairobi nilikua dec utanieleza nn wewe😂😂😂😂😂 konza haijafika hata asilimia 1% ya render alaf mpuuzi anaongea tu anafkiri wote wageni humu
Yaani kama LAPSSET ambayo less than 10 percent (3 berths out of 32) haijakamilika mwaka wa tisa sasa! 🤣 👆
 
F17240E0-67F1-47D5-A3C1-BCC51E5B86FE.jpeg
 
Sasa nairobi nilikua dec utanieleza nn wewe😂😂😂😂😂 konza haijafika hata asilimia 1% ya render alaf mpuuzi anaongea tu anafkiri wote wageni humu
Kama hujui kitu sema uelezewe. Usilete battle kwa kila kitu. Hii ni asilimia moja? Wavuta bangi wamejaa Tanzania

Back
Top Bottom