Party after party, huku sgr kule mbezi bus terminal, pale brt phase 2&3, mara kidogo selander bridge, tuwaacheni wapumue na ka expressway chao japo kidogo jameniSelander Bridge to be completed in October 2021.
View attachment 1624552
View attachment 1624553
View attachment 1624554


Kwa Magu hakuna kinachoshindikana nadhani anatafuta fund tu ikipatikana mpango lazima uwe, hii ndiyo tofauti ya Magu na viongozi wengine wa kiafrika, huwa anatembea kwenye maneno yake.Hawa nao wanazingua, hii project toka 2011 naona inajadiliwa tu
Ila anyway hata Mbezi Luis terminal ilikua project ya 2011
View attachment 1624565View attachment 1624567View attachment 1624568View attachment 1624569
Wameanzisha BBI ili kuwachanganya wakenya wanatumia millions of ksh of tax payers kuwaaminisha kuhusu BBI 😂😂😂 lakini we imagine ni nchi gani ulimwengu huu siasa zinaanza miaka miwili kabla ya uchaguziUmechambua kwa ufupi na vzr sn, hii ndiyo maana ya mTz, gharama ya kuwa mTz ni kubwa mno huwezi kuiweza kwa maneno pekee kama wafanyavyo BBI, wanadhani utanzania ulikuja tu from the space hahahaaa watasubiri sana, picha kamili subiri 2022 ili muone utanzania ulivyo mgumu![]()
Mkuu kila kitu kipo tayari kabisa ila nasikia coordinator wa mradi kahamishwa kitengo World Bank na miyeyusho ya Corona, ila kila kitu kipo tayari kabisa mpaka constructor kapatikanaKwa Magu hakuna kinachoshindikana nadhani anatafuta fund tu ikipatikana mpango lazima uwe, hii ndiyo tofauti ya Magu na viongozi wengine wa kiafrika, huwa anatembea kwenye maneno yake.
Hivi mkuu hakutakuwa na madaraja ya watu kuvuka kwenda upande wa pili wa reli kwenye stesheni, mfano angalia ruvu Station
Dah itakuwa poa sana mkuu.Mkuu kila kitu kipo tayari kabisa ila nasikia coordinator wa mradi kahamishwa kitengo World Bank na miyeyusho ya Corona, ila kila kitu kipo tayari kabisa mpaka constructor kapatikana
View attachment 1624592
Na ka ...Party after party, huku sgr kule mbezi bus terminal, pale brt phase 2&3, mara kidogo selander bridge, tuwaacheni wapumue na ka expressway chao japo kidogo jameni![]()
Ur talking of commuter rail as if dar is not there or??😂😂😂 au unataka tutaje projects zoteNa ka ...
*Western bypass,
*BRT
*Westlands-limuru expressway
*Nairobi expressway
*Affordable housing project
*Ngong road expansion
*Nairobi commuter railway
#Party after party
#Projects Back to Back
Hivi reasoning ya Wakenya Iko wapi!Fikra za kizamani kweli, kwhyo mtu akiandamana kutetea haki yake huvunjwa miguu tayari...
Utapigwa km umeanza kupimana nguvu na polisi, ukiandamana alafu uanze kurusha polisi mawe lazima upigwe..
Lkn bongo hata kuandamana ni kosa la jinai hku waume zenu policcm wakiskia mmetia niya ya kuandama hutamano mtokee wawavake kiamuamu
Kwanza mtoto wa kiume utaogopaje polisi, kwn uliambiwa polisi sio bindamu.polisi mheshimu tu lkn ukiona km anakuvunjia heshima kinukishe..
Lkn wabongo mnakubali kuvakwa na polisi tena mchana kweupe
Wachukue maoni ya watz wa sasa ndio tujue kama wanahitaji ama laa, Tumekua na mitazamo tofauti kwenye jambo hilo la Raisi aendelee au apishe mda ukiishaYeees kama xi jinping...na general election pia ifutwe,tunapoteza pesa nyingi sana kwa mambo ya uchaguzi tu..kwanza haya mambo ya uchaguzi sio mambo yetu watz ni beberu tu ndo alitulazimisha,hata kama unakumbuka enzi za mzee mwinyi watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,ni 20% tu ndo walitaka,lakini 80% walipinga,mzee mwinyi aliamua kuwafuata wale 20%..najua huwezi kukumbuka,ulikuwa bado kuzaliwa..ule mfumo wa china wa CCP ni copy na paste ya CCM masterplan akiwa mzee mwl nyerere mwenyewe
Katika maboya basi wewe nime ku rank juu sana, sasa umeandika nn hapa au ndio unahalalisha kuandamana kuonekane km ni kesi ya jinai...Hivi reasoning ya Wakenya Iko wapi!
Kura ni siri... Wewe unajuaje kuwa kura yako ndio imeshinda ..ilihali ni kura moja!?
Ukikaa katikati ya watu wengi wanawezaje kukuaminisha pasi na shaka.. kuwa wakisema wamemchagua Juma basi kweli wamemchagua Juma!?
Ukiwa unaandamana... Tukakukamata wewe peke yako... Tukakuhoji unajuaje kura ya upande wako ndio ilishinda! Utajibu nini!?
Mpiga kura hana uwezo wa kuthibitisha ushindi... Ni kazi ya mawakala wa mgombea... Kazi yetu tunakupa kura kuzilinda ni juu yako Mgombea na Mawakala wako...
Sasa mtu mwenye akili timamu ambao ndio watanzania wengi wanalijua hili. Ndio maana huwezi kutukuta tunakimbizana... Kama tunakupa kura na unashindwa task ndogo ya kulinda kura... Utaweza kulinda Mipaka ya nchi na maslahi ya watanzania!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app


Nataka kuiona tulinganishe na yenye nmepostUr talking of commuter rail as if dar is not there or??😂😂😂 au unataka tutaje projects zote