Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa keshawaoza kw policcm tayari, jamaa mpka wanaita wachumba siku hizi
Mimi sio mjinga dogo,mimi nina familia siwezi nikawaza eti niandamane kisa na mkasa eti lissu kaibiwa kura!!..watanzania hawana ujinga huo,watanzania wana-reason kwanza kabla ya kufanya maamuzi,hawaokotwi kama mang'ombe au makenya,lissu yuko zake belgium huko wewe huku bongo unavunjwa mbavu,hiyo akili au ubwabwa???!!!..mimi kama siridhiki na ccm asa hivi niko zangu zambia au brazil nafanya mambo mengine

Bado zamu yenu 2022,na jinsi mlivyo na ubwabwa kichwani,lazima mgongane,uchaguzi mwaka 2022 siasa zimeanza tangu juzi *****...
 
Kawahongeni hao mabeberu na nyie wawape hyo paper economy muanze kupata private investors kw wingi..

Tena ile siku mtawahonga mpewe hyo paper economy, tra wataanza kukusanya mpunga wa maana sana..AU na UN headquarters zitahamia tanzania
Hao beberu wako tunawaminya kende kila siku,kwani wana hamu na sisi!!??..wakisia tu jina Tanzania wanaanza kujambajamba...nyie ndo rafiki zenu huwa mnawachekea ndo maana wamewafanya nguruwe wa majaribio,kwa sababu hamjielewi
 
Naamini humu wapo pia waliosoma kwa Commissioner au Muddy Physics kule mchikichini, mwamba wetu ametutoka, RIP

Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa..
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale mchikichini..
MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER . .
Amefariki dunia jioni hii..

Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa..

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa mchinikichini

https://www.jamiiforums.com/threads...ie-vituko-tulivyokutana-navyo.1377268/page-16
 
Basi tulieni wazidi kutupa huo uchumi wa makaratasi ambao unatufanya tunakusanya hela nyingi sana kupitia tax..
Hku wawekezaji wa nje na wa ndani wakiwa maradufu na kufanya compee na serekali upo?
Huo huo uchumi wa kwenye makaratasi ndio umetufanya tunawapiga bao kw trade deals EA..

Uchumi wa makaratasi umeiwezesha company za kenya kufungua matawi nchi jirani..

Uchumi wa kwenye makaratasi umetuwezesha kampuni moja yetu kuingiza faida sawia na kampuni kumi za tz..

Niendeler na uchumi wetu wa makaratasi
 
rest in better place.......
Naamini humu wapo pia waliosoma kwa Commissioner au Muddy Physics kule mchikichini, mwamba wetu ametutoka, RIP

Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa..
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale mchikichini..
MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER . .
Amefariki dunia jioni hii..

Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa..

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa mchinikichini

https://www.jamiiforums.com/threads...ie-vituko-tulivyokutana-navyo.1377268/page-16
 
Mimi sio mjinga dogo,mimi nina familia siwezi nikawaza eti niandamane kisa na mkasa eti lissu kaibiwa kura!!..watanzania hawana ujinga huo,watanzania wana-reason kwanza kabla ya kufanya maamuzi,hawaokotwi kama mang'ombe au makenya,lissu yuko zake belgium huko wewe huku bongo unavunjwa mbavu,hiyo akili au ubwabwa???!!!..mimi kama siridhiki na ccm asa hivi niko zangu zambia au brazil nafanya mambo mengine

Bado zamu yenu 2022,na jinsi mlivyo na ubwabwa kichwani,lazima mgongane,uchaguzi mwaka 2022 siasa zimeanza tangu juzi *****...
Fikra za kizamani kweli, kwhyo mtu akiandamana kutetea haki yake huvunjwa miguu tayari...

Utapigwa km umeanza kupimana nguvu na polisi, ukiandamana alafu uanze kurusha polisi mawe lazima upigwe..
Lkn bongo hata kuandamana ni kosa la jinai hku waume zenu policcm wakiskia mmetia niya ya kuandama hutamano mtokee wawavake kiamuamu

Kwanza mtoto wa kiume utaogopaje polisi, kwn uliambiwa polisi sio bindamu.polisi mheshimu tu lkn ukiona km anakuvunjia heshima kinukishe..

Lkn wabongo mnakubali kuvakwa na polisi tena mchana kweupe
 
Kenya imezungukwa na machafuko kila upande, kasoro mpaka wake wa kusini. Sasa hivi Ethiopia kunaweza kuzuka vita ya wenyewe kwa wenyewe. Somalia ndiyo hivyo tena, Uganda nayo haijatulia, Sudani ya kusini nako hakuko sawa.

Viongozi wa Kenya wangekuwa na akili wasingekuwa wanaichokoza Tanzania, kwa kuwa ndiyo nchi pekee inayojielewa. Ni nchi pekee wanayoweza kufanya nayo biashara bila tashishwi, sijui ni kwa nini hawalioni hili?
 
Naamini humu wapo pia waliosoma kwa Commissioner au Muddy Physics kule mchikichini, mwamba wetu ametutoka, RIP

Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa..
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale mchikichini..
MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER . .
Amefariki dunia jioni hii..

Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa..

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa mchinikichini

https://www.jamiiforums.com/threads...ie-vituko-tulivyokutana-navyo.1377268/page-16
G.O.A.T, inna llillah wainailayh raajiun
 
Fikra za kizamani kweli, kwhyo mtu akiandamana kutetea haki yake huvunjwa miguu tayari...

Utapigwa km umeanza kupimana nguvu na polisi, ukiandamana alafu uanze kurusha polisi mawe lazima upigwe..
Lkn bongo hata kuandamana ni kosa la jinai hku waume zenu policcm wakiskia mmetia niya ya kuandama hutamano mtokee wawavake kiamuamu

Kwanza mtoto wa kiume utaogopaje polisi, kwn uliambiwa polisi sio bindamu.polisi mheshimu tu lkn ukiona km anakuvunjia heshima kinukishe..

Lkn wabongo mnakubali kuvakwa na polisi tena mchana kweupe
We poyoyo kweli hujawa na familia bado ndo maana unaongea upupu
 
Basi tulieni wazidi kutupa huo uchumi wa makaratasi ambao unatufanya tunakusanya hela nyingi sana kupitia tax..
Hku wawekezaji wa nje na wa ndani wakiwa maradufu na kufanya compee na serekali upo?
Huo huo uchumi wa kwenye makaratasi ndio umetufanya tunawapiga bao kw trade deals EA..

Uchumi wa makaratasi umeiwezesha company za kenya kufungua matawi nchi jirani..

Uchumi wa kwenye makaratasi umetuwezesha kampuni moja yetu kuingiza faida sawia na kampuni kumi za tz..

Niendeler na uchumi wetu wa makaratasi

Mna uchumi gani nyie
 
IMG_3183.jpg
 
Back
Top Bottom