Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
ni hatari speed up......kinoma noma..Mm mkuu alipowaambia mpk Nov anataka jengo lake ckuamini [emoji3][emoji3][emoji3]
ni hatari speed up......kinoma noma..Mm mkuu alipowaambia mpk Nov anataka jengo lake ckuamini [emoji3][emoji3][emoji3]
Kinachofrahisha zaidi matuta na madaraja yote tayari bado izo sehemu za kutandika mataruma na kuweka reli...Apo kipande cha DAR ndio sijaelewa wanapaacha kwa kusudi flan Au vp
Washajenga na ukuta wa kuzunguza stendi tena wa zege sio tofali + Kuna mfeleji washajenga pia kwa mbele ya stendi unaounganisha na mto mbezi, hii ngoma before Nov 30 itaanza kupiga mzigokumbe speed wanaiweza
Jana nilipita "majumba sita" pale sija elewa wanafanyaje au ile njia inakufa maana hamna daraja palekipande cha Dar kitaanza kuwekwa ikiwa sehem ya kushuka na kupanda juu ya kila viaduct imekamilika..
sijui nimeeleweka ?
Baridikipande cha Dar kitaanza kuwekwa ikiwa sehem ya kushuka na kupanda juu ya kila viaduct imekamilika (pia movement juu ya viaduct isikutane na shimo/uwazi wowote)..
sijui nimeeleweka ?
Miaka 22 mbona michache!!!!??..jembe lile walipe miaka 30+++
Wakenya akili zenu ziko kwa matako,yaani nyie mnawaza GDP tu...ujinga mzigoAta mimi nmependa Kenya will triple Tanzanias GDP
Jana nilipita "majumba sita" pale sija elewa wanafanyaje au ile njia inakufa maana hamna daraja pale
Hadi afe Magufuli hoiyee!!Miaka 22 mbona michache!!!!??..jembe lile walipe miaka 30+++
[emoji23][emoji23][emoji23] Magufuli aendelee ndio msitupiku mwakaniWakenya akili zenu ziko kwa matako,yaani nyie mnawaza GDP tu...ujinga mzigo
Hadi afe Magufuli hoiyee!!
Kama unaongelea paper economy hapo sawa ni bado kubadilisha tu ila ukiongelea uhalisia kenya huwezi linganisha na Tz kwa ss, hilo hata nyie mnalijua haliitaji maelezo.[emoji23][emoji23][emoji23] Magufuli aendelee ndio msitupiku mwakani
Tulishawapiku zamani sana,w e huna khabar[emoji23][emoji23][emoji23] Magufuli aendelee ndio msitupiku mwakani
subir.. kuna mtu nimemuuliza.. akijibu nitaleta huku
With 90% debt to GDP ratio😂😂😂😂Ata mimi nmependa Kenya will triple Tanzanias GDP
Any quality movie from the south this levels ama ni zile za Maisha Magic East or Bongo?;
(I dont enjoy love kinda movies but I appreciate the quality input, it is litt, mie ni investigation na political conspiracies, CIA, MOSSADor KGB type) but these Kenyan productions are on another level!!
Any TZ production on Netflix?
Kawahongeni hao mabeberu na nyie wawape hyo paper economy muanze kupata private investors kw wingi..Kama unaongelea paper economy hapo sawa ni bado kubadilisha tu ila ukiongelea uhalisia kenya huwezi linganisha na Tz kwa ss, hilo hata nyie mnalijua haliitaji maelezo.
Jamaa keshawaoza kw policcm tayari, jamaa mpka wanaita wachumba siku hizi[emoji1787]Yeees kama xi jinping...na general election pia ifutwe,tunapoteza pesa nyingi sana kwa mambo ya uchaguzi tu..kwanza haya mambo ya uchaguzi sio mambo yetu watz ni beberu tu ndo alitulazimisha,hata kama unakumbuka enzi za mzee mwinyi watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,ni 20% tu ndo walitaka,lakini 80% walipinga,mzee mwinyi aliamua kuwafuata wale 20%..najua huwezi kukumbuka,ulikuwa bado kuzaliwa..ule mfumo wa china wa CCP ni copy na paste ya CCM masterplan akiwa mzee mwl nyerere mwenyewe
sure ila vipi kuhusu daraja litakalosogea kwenye barabara kuu..?Washajenga na ukuta wa kuzunguza stendi tena wa zege sio tofali + Kuna mfeleji washajenga pia kwa mbele ya stendi unaounganisha na mto mbezi, hii ngoma before Nov 30 itaanza kupiga mzigo
siasa siyo nzuri mkuu,,,,,tuache hizi awamu zibaki kama zilivyo wapokezane vijiti tuMiaka 22 mbona michache!!!!??..jembe lile walipe miaka 30+++