Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
Unatarajia niweke picha zote za pedestrian bridges in Nairobi? Are you crazy? They are so many zingine hata sijuiWeka picha wacha maneno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unatarajia niweke picha zote za pedestrian bridges in Nairobi? Are you crazy? They are so many zingine hata sijuiWeka picha wacha maneno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I know it's a bitter pill to swallow160km zipi hzo? Kwmb mlijenga reli kwa ajili ya commuter train au mnatumia reli ile ile ya mkoloni [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli kabisaImagin hizi area hazipo kwa drone view I posted here! South B, South C , Lang'ata area, Karen, Ngong road, parts of the Nairobi metro; kama akina syokimau, Ruaka, Gigiri area kwa akina Muthaiga, Runda na Kiambu road sections, two rivers mall and the surroundings are not covered and they are developed areas! Nairobi metro is King in developed area in East, west n central Africa!. Hakuna mpinzani kamwe. Sasa battle will remain comparison ya vitu kama rails, brt, commuter, security, usafi hivi, flyovers n the likes., small stuff tu. 😂😂😂😂 of which any city can be on top ata Kigali can beat big cities kwa some sectors., Dar can beat Jozi in some sectors etc., mambo ndogo ndogo 😂😉
Hehehe umekosa jibu mamaaaee, ss ckia nikwambie jengeni wacheni masiala Afrika now imekucha, kwa mfano cc tumeshafanya feasibility study ya commuter rail jiji zima la Dar na ofcz tunakwenda kuwa nchi pekee ukanda huu kujenga reli mpya ya kisasa kwa ajili ya ku transport watu ndani ya jiji, ss nyie endeleeni kujisifu ujinga eti mna kms nyingi za commuter rail wkt mnatumia reli ya mizigo ya mkoloni [emoji3][emoji3]I know it's a bitter pill to swallow
Mm nyie nawapatia sn yn hakuna mkenya atasumbua kichwa changu amini kwamba wazembe nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe IQ yako iko proven ni below average, no meaningful argument kaka[emoji23][emoji23], mambo ya Dar ni kwisha., eti density![emoji23][emoji23]
Halafu dar kuna route 3 za commuter hili tuliweke sawa ili mungiki waeleweYaani kazi yao ni kuzunguka forums za nchi zingine kueneza propaganda na uwongo sema napenda kwa sababu siku hizi wanakamatika kinoma yaani hawafurukuti [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1623397
how many brt routes are there nairobi and what's the total length?How many brt routes are there in Dar and what's the total length?
Wengine ni watoto wa miaka ya 2000's,hawajui siasa ya tz inaendaje..eti lissu awe raisi!!..Kama unajua kuwa kuna mbinu anarudi nazo...ni kiherehere gani ilikufanya uandike kuwa harudi ikulu?
Two routes, 32 kilometres 😂 😂how many brt routes are there nairobi and what's the total length?
Wazembe ni wenye nchi kubwa, yenye rotuba kotekote, madini, huge coastal area na bado wako kwa list ya masikini wa kutupwa EAC na SADC 😂😂😂., uzembe na Tanzania ni synonyms 😂😂😂Mm nyie nawapatia sn yn hakuna mkenya atasumbua kichwa changu amini kwamba wazembe nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukinionesha sehemu imeandika Tz ni nchi maskini naondoka Jf ss hv [emoji3][emoji3][emoji3]Wazembe ni wenye nchi kubwa, yenye rotuba kotekote, madini, huge coastal area na bado wako kwa list ya masikini wa kutupwa EAC na SADC [emoji23][emoji23][emoji23]., uzembe na Tanzania ni synonyms [emoji23][emoji23][emoji23]
Kojoa ukalale kesho uwe fresh, masaa ya watoto imeisha. Dogo kuwa na good night.
In dar,we have 0 routes,0 kilometres😂😂Two routes, 32 kilometres 😂 😂
Ccm inabidi uipende tu,maana hakuna upinzani wala beberu awezaye iangusha ccm,take that to your head..tanzania itaongozwa na ccm milele.Kimsingi hajashinda kihalali lakini mimi bado niko kwenye age ya 30's na good enough siko kwenye side ya wanao toil maisha ko kuna nafasi ya kufanya mabadiliko mbele ,hali bado inahimilika unless ningekuwa kwenye umri mkubwa na naishi maisha magumu ningeumia sana.Chochote kinaweza tokea ndani ya hiyo miaka 5 but sipendi vikwazo japo mimi naweza survive in case hali imebadilika ni rahisi sana kwangu kuvuka boda
Najua huwezi toka it is a bluff 😂😂😂 kama tu kakako Ichoboy01.Najua Ukinionesha sehemu imeandika Tz ni nchi maskini naondoka Jf ss hv [emoji3][emoji3][emoji3]
We umekula kinyesi ubongo umejaa tu mavi sikulaumu
Hii kitu nimepita leo wameanza kutoa hyo mikalatasi kwenye hizo roof ni noma wazee ni nomaWakenya hapa wamelamba 3 buyu
Mbna unawashwa washwa[emoji1787][emoji1787]Ona unavyovamia vitu usivyojua, yn hili demu hilii [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa mbezi nimeona wanatengeneza kwa bridge kwa ajiri ya stendi mpya, wakenya jiandaeni kuja kupiga pichaSasa tulia nikupe moja moja mpaka yafike 30.
1. Kimara pedestrian bridge
View attachment 1623355
2. Ubungo acha ile flighover kuna bridge pia.
View attachment 1623362
3.manzese ili toka zamani.
View attachment 1623363
4.buguruni
View attachment 1623365
5.kawe bondeni hii apa ilikua underconstrctn lakini daivi inafanya kazi toka 2018
View attachment 1623366
we Jamaa kila siku ndio ikipita ndio unazidi kuwehuka[emoji1787][emoji1787]Hivyo vitu ulivyovitaja ndivyo qualifications za mji kuitwa wa kisasa and unfortunately Nairobi has got nothing ktk Hizo [emoji3][emoji3][emoji3]