Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ukikubali kuwa upo wrong kuna mtu atakupiga humu?

Ulisema hazizidi tano! Umepewa zaidi ya tano bado upo unaendeleza ubishi wa kijinga,

Huwa nipo sahihi kusema mkoloni aliondoka na akili zenu wakunya.
Leteni basi zifike zile 15 zenu. Sorry 30 😂 😂
 
Kama unajua kuwa kuna mbinu anarudi nazo ikulu...ni kiherehere gani ilikufanya uandike kuwa harudi ikulu?
Acha ushuzi ndio maana kuna uchaguzi na kuna kujipa moyo kwamba wasimamizi watatenda fair au mbinu zitashindikana kama haikuwa hivyo maisha mengine yanaendelea maana wa kusafa sitokuwa mimi ila zaidi wale mnaowabeba kwenye malori ya mchanga
 
Acha ushuzi ndio maana kuna uchaguzi na kuna kujipa moyo kwamba wasimamizi watatenda fair au mbinu zitashindikana kama haikuwa hivyo maisha mengine yanaendelea maana wa kusafa sitokuwa mimi ila zaidi wale mnaowabeba kwenye malori ya mchanga
So ulijipa moyo kuwa JPM hashindi ule uchaguzi?
 
Screenshot_20201110-151413.jpg
 
Hey kid are you serious?? Pedestrian bridge dar ziko sio chini ya 15. Tena first quality.. nimesema sio chini ya 15 na zinaweza zikadouble hapo. Jaribu kuwa serious kidogo.
Huu upumbavu ndiyo huwa cjibu kabisa [emoji116][emoji116]
What's the total length of your commuter rail and how many lines does it serve? Also, can you share with us pictures of the stations if you don't mind?
 
So ulijipa moyo kuwa JPM hashindi ule uchaguzi?
Kimsingi hajashinda kihalali lakini mimi bado niko kwenye age ya 30's na good enough siko kwenye side ya wanao toil maisha ko kuna nafasi ya kufanya mabadiliko mbele ,hali bado inahimilika unless ningekuwa kwenye umri mkubwa na naishi maisha magumu ningeumia sana.Chochote kinaweza tokea ndani ya hiyo miaka 5 but sipendi vikwazo japo mimi naweza survive in case hali imebadilika ni rahisi sana kwangu kuvuka boda
 
Because that person told us to stick to our lanes. You can't talk that way if the person you are telling so has something better or bigger than yours. I just want to know who should stick to their lanes between Kenyans and Tanzanians in this case coz apparently, we are being told that Dar has a better transport system than Nairobi. Prove this to us by first sharing with us the total length of your commuter rail and the number of lines it serves. Don't also forget the stations. It's that simple
Naona mtumba umekupa jeuri ya kuanza kushindana na Tz kwenye public transport, ulikuwa kmy ww, but mtumba umekutoa mafichoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kimsingi hajashinda kihalali lakini mimi bado niko kwenye age ya 30's na good enough siko kwenye side ya wanao toil maisha ko kuna nafasi ya kufanya mabadiliko mbele ,hali bado inahimilika unless ningekuwa kwenye umri mkubwa na naishi maisha magumu ningeumia sana.Chochote kinaweza tokea ndani ya hiyo miaka 5 but sipendi vikwazo japo mimi naweza survive in case hali imebadilika ni rahisi sana kwangu kuvuka bado
Nani alishinda?

Si mlituaminisha kuwa kwenye uchaguzi hamtoibiwa kura kwa sababu nyie sio yule mgombea wa ukawa?

Makamanda mnakwama wapi!
 
Didn't I say hazitapita tano??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Finally I am vindicated.

Thika road alone has more than ten of them. Sasa piga hesabu yako Nairobi nzima zinaweza kuwa ngapi.

Alafu hizi ndio first quality ulikuwa unasema? Mnachekesha sana na hizi superlatives zenu!
We mpuuzi zipo bado hajaweka nyingi sn apo we tulia ile ya kinondoni bado ya mbezi mwisho bado yn tulia [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nani alishinda?

Si mlituaminisha kuwa kwenye uchaguzi hamtoibiwa kura kwa sababu nyie sio yule mgombea wa ukawa?

Makamanda mnakwama wapi!
Trump mwenye jeshi analia lia kuibiwa kura ndio itakuwa upinzani wanaoshindana na majizi yaliyokubuhu ambayo ni chama dola? Kimsingi nafahamu mengi ila for the sake of future naweza ignore at least umri usogee sogee kwanza
 
Trump mwenye jeshi analia lia kuibiwa kura ndio itakuwa upinzani wanaoshindana na majizi yaliyokubuhu ambayo ni chama dola? Kimsingi nafahamu mengi ila for the sake of future naweza ignore at least umri usogee sogee kwanza
Unaulizwa hiki wewe unajibu kile!
 
Back
Top Bottom