Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we Jamaa kila siku ndio ikipita ndio unazidi kuwehuka[emoji1787][emoji1787]
Emu rudia tena hzo qualifications[emoji116][emoji116][emoji116]

electric sgr, BRT, 3level interchanges, Modern bus terminals[emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sana na bahat nzuri naijua in out sijui utanidanganya nn ww so ndani ya video hii ndio kitu nimeona[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hali hii lazma mwanza ikitoe uharo
View attachment 1623564View attachment 1623565View attachment 1623566
Jamaa ka screenshot some parts ya zile ghorofa zilizoezekwa mabati kw juu za old town za 1960s kisha unajifurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ni mji wa kale jomba watu kutoka sehemu mbali wanakuja kushngaa old town mji wa tangia 1900...
Njoo utalii old town nimekupa offer nitakutembeza ili uachane na zile ngano zako eti unaijua mombasa..

Si unapenda kujishaua na mombasa kweli[emoji3][emoji3]
 
Sasa hivi umekuwa mtu wa kuleta taharuki. Umeshaanza kuwa mwanasiasa uchwara.

Hizo taarifa umezipata wapi!? Acha uongo na kuzua taharuki. Tangu wakati wa uchaguzi umebadilika sana.

Jitafakari.
Mbona hampendagi ukweli? Geza huwa na facts licha ya kua propagandist kwa kiwango., haimanishi WB wakizuiya pesa mambo hayatafanyika😂😂😂 Tz ni "kwa pesa za ndani" haujui hilo?
 
Jamaa ka screenshot some parts ya zile ghorofa zilizoezekwa mabati kw juu za old town za 1960s kisha unajifurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ni mji wa kale jomba watu kutoka sehemu mbali wanakuja kushngaa old town mji wa tangia 1900...
Njoo utalii old town nimekupa offer nitakutembeza ili uachane na zile ngano zako eti unaijua mombasa..

Si unapenda kujishaua na mombasa kweli[emoji3][emoji3]
Hiyo section jamaa ka weka ni sehemu ndogo sana ya hiyo drone video clip ya Mombasa😂 😂😂😂 ni section wa mji ulio jengwa na Portuguese, ukielekea maeneo ya fort jesus, hiyo architecture ni a historical heritage serikali haiwezi iondoa., wana preserve history. Jamaa katapatapa tu.
 
IMG_3172.jpg
 
Mbona hampendagi ukweli? Geza huwa na facts licha ya kua propagandist kwa kiwango., haimanishi WB wakizuiya pesa mambo hayatafanyika😂😂😂 Tz ni "kwa pesa za ndani" haujui hilo?
Kijana ukileta ukweli na evidences kwetu hakuna shida.

But hizi blah blah blah za kujifariji baada ya uchaguzi huwa ni ujinga.
 
...and the whole Dar is over😂😂😂😂., mbali na hapa hakuna chochote to compare with Nairobi, hakuna kabisaaaa😂😂😂 stick with three level tu😂😂😂 I repeat, Mombasa ni mwenzenu, ukitaka lia pombe kama umekaukiwa machozi

this is your level, pia na density..,
👇👇👇

Hiii sindio level yenyewe kwann mwanza isilutoe ushuzi😂😂😂😂
D04F30EB-D24B-44F6-9160-BB0D99833254.jpeg
F95811D1-93D1-4A06-9F7F-90DAD0E57B5E.jpeg
16ACE3EA-2A0C-4D5D-8C29-00963358A71D.jpeg
 
Back
Top Bottom