Hapa umenoa bro! Mkondo wa uchumi ambao mumechukua kwa sasa condemns the poor to more poverty n the rich to more wealth! Ndio maana masikini wa kutupwa wanaendelea kuongezeka kwa wingi in Tz kwa sasa mnaongoza ukanda huu na SADC, which is a sad thing! Watanzania wengi tu wamevuka border wanaendesha piki piki hapa Nairobi na kwingine, na wengine wamefungua vinyozi na salon ambao nawajua, they tell me themselves making a mininmum of ksh.1000( Tsh 22,000) kwa siku mfululizo in Kenya is easier for them than in Tz, ndio maana wanafanya biashara huku, pia hawkers kutoka kwenu pia wamejazana mbali na omba omba. Hakuna anae wasumbua. So hizi ni fikra zako tu za kizalendo, a feel good argument, kwa ground vitu ni different.😂
Your undoing ni economic path nchi yenu imechukua, it favours walio nayo more than walala hoi! Ndio maana pale Dar low life type residential zimejaza hiyo 1500 km sq by almost 85%!! Wewe hauoni ni balaa!., Tz ingekua na county government system walai mtaongoza Africa, take it to the bank! Most counties will have sufficient resources to run and grow on their own, but kwa sasa mali yote ni ya CCM, they decide whatever they think is "right". Wanafanya mambo makubwa ya kupumbaza raiya tu but with minimal economic impact to common mwananchi, despite all the hulabaloo ya construction poverty levels has remained the same or slightly increased!