Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukisema kenya bado kushindana na Tz mnalia, hebu tazama technology iliyotumika kujenga hyo road na wala hatujali bado tunajenga [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1622715
Hamna kitu hapo bwana
images.jpeg-30.jpg
 
Tanzania bhn baba laooo, tukija kwenye battle ya gari kali ndo usiseme, kuna mkenya mmoja uko juu eti anatoa execuses kwmb umaskini wote huu bado watu wananunua Lamborghini, anajisahaulisha kwmb Tz ndiyo nchi yenye dollar millionaires wengi in East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622717View attachment 1622718View attachment 1622720View attachment 1622721View attachment 1622722
Mambo madogo hayo, na wala hku sio za watoto wa mabilionea
images.jpeg-26.jpg
Eapls93WAAEZAdW.jpg
 
Under construction how? Sasa unageuza goli eti the largest[emoji23][emoji23][emoji23] soma what u posted idiot![emoji2][emoji23][emoji23] eti "...the only cable stayed bridge.." ya Uganda iliisha almost two years now[emoji23]., wewe ni mpumbavu kupindukia[emoji23][emoji23][emoji23] meza kiburi kaka kua mpole wacha kimbelembele[emoji23][emoji23] ama nianze kuwapa forensic facts about Tz najua hampendi ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo sijui km shule alipita kweli, manale huaga hafanyi research kabisa
 
Hicho apo chini ndiyo kijiji cha michezo, tuna plan ya kuandaa Afcon miaka michache ijayo, ona viwanja vya heshima vipo sehemu moja na wala hatujali bado tunajenga vingine mfano kile cha Dodoma ndo kitakuwa kikubwa Afrika nzima [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622707
Correction: Hiki ni kijiji cha mpira wa miguu pekee sio kijiji cha michezo. NOT A COMPLEX😂😂😂😂
Moi Sports complex Kasarani ndio kijiji cha michezo which hosted all Africa games! Tz hakuna such a complex, nyie baki tu kwa kandanda pengine mta host "world cup".😂😂 yaani unajaribu kulinganisha kitu yenye ilijengwa 1986 na what was build recently! kama ufananishe Range Rover ya 2002 na Range Rover ya 2015! Kuna tofauti kubwa sana yani akili zenu ni ovyo! Low IQ hata hamjui maana ya complex😂😂😂 Hata hivyo kasarani bado iko standard licha ya kujengwa hapo zamani, kweli Tz bado ndio mnatoka porini na vichakani😂😂😂😂

Indoor Arena at Kasarani complex that has hosted basket ball, volley ball, teakwondo, netball na kadhalika!😂😉
moi-international-gymnasium.jpg

images-189.jpeg

images-190.jpeg


Heated swimming pool at aquatic stadium in Kasarani sports complex
images-79.jpeg

images-39.jpeg

images-82.jpeg

Pale background kwa mbali ni ule uwanja wa kandanda 60,000 seater.

Uwanja wa 1986 lakini bado ni standard!😂😂 mpumbavu anaulinganisha na uwanja wa sasa, ulio jengwa majuzi tu! low IQ mixed with inferiority complex😂😂😉 mnajiletea dharau wenyewe.

Gari mzee lakini linaweza panda mlima na mzigo mzito!😂😂
images-251.jpeg

images-253.jpeg

images-252.jpeg


Tanzania hakuna sports complex na sio tafadhali😂😂😉
 

Attachments

  • download-10.jpeg
    download-10.jpeg
    11.7 KB · Views: 16
Hii road ni mpya kabisa lkn Wakenya kwasababu hawana elimu ya usafi wamei vandalise hiyo road now mifugo, magari, watu wanapita hapo hapo.

Hakuna mkenya huwa anapost hilo daraja ukiona anapost basi anapost wakati inajengwa, jamaa wachafu sana hawa
emoji116.png
emoji116.png
emoji3.png
emoji3.png
View attachment 1622884
Muongo wewe 😂😂😂hapo ni wapi kaka?., ama unataka drone video clip?., hauna chako lazima utafute pakutokea ili eti Tz ionekane nafuu😃😂😉
Wana maisha magumu mno zaidi ya mnavyoweza kudhani ndugu zangu wasiongope eti ni Kibera tu hapana ni kenya nzima wana hali ngumu ngumu ngumu sana na ndiyo maana mkenya yeyote akipata fursa ya kuja Tz huwa hatamani kurudi kabisa, mm lecturer wng alikuwa mkenya huwa c mtu wa kurudi rudi nyumbani kabisa mpk tukawa tunashangaaView attachment 1622891View attachment 1622892View attachment 1622893
Tazama omba omba wa Tanzania hapo kwa stairs! Wanakimbia jehanamu kule Tz😂😂😂
 
Kenya haitowahi kuwa na the largest refugees camp than Tz huwa mnaongopa ili mpewe misaada muitafune, labda ujumlishe na Wakenya wenyewe mana ni wakimbizi ndani ya nchi yao [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa ata Uganda wako on top of you. Nani akae na watu warogi na roho mbaya! Hampendi wageni! Hili wachia Kenya na Uganda nenda mkaketi na South Africans xenophobic minds wenzenu😂😉😂😂
 
Back
Top Bottom