Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya maziwa na asali [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1603448981905.jpeg
tapatalk_1604307061705.jpeg
tapatalk_1604307067256.jpeg
tapatalk_1604307077079.jpeg
 
Ila tuwe wawazi hii nchi kusema ukweli Mungu aliipendelea sn, ukitaka joto lipo ukitaka baridi kuna maeneo yana barafu kabisa km ulaya, ukitaka jangwa kuna maeneo yana desert features km uarabuni vile, ukitaka fukwe zipo zzilizotulia kuliko Ibiza, ukitaka misitu kuna maeneo yana misitu mizito km Amazon, yn ukitaka madini hapa ndiyo kwake sioni nchi ya kushindana na cc duniani hapa, ndo mana nasema ogopa matapeli ile nchi ya ahadi ndo hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1591123791387.jpeg
tapatalk_1589733467550.jpeg
tapatalk_1595538001920.jpeg
 
Ona nchi yetu inavyopendelewa na Mungu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622861
Alafu nchi zingine zinaongopa tu co km kwetu mana km hazina corona mbn bado raia wanavaa mask?? Ogopa matapeli nchi pekee hapa duniani isiyokuwa na corona hata chembe ni Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oneni jinc elimu inavyoshindwa kumkomboa mkenya angalia jinsi wanavyojenga barabara zao [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1601825521042.jpeg
tapatalk_1596876238430.jpeg
 
My opinion(yani maoni yangu tu) machungu ya nini😂😂😂., mbona una hisia za ki chuki chuki hivi?😂😂 mafeeelings wachanga sazingine😂😂
Tanzania is likely to remain ya "viwonder" for long, haitokombolewa in this current generation, am sorry to say, it is an absolute fact.
Ingekombolewa kenya kwanza,kisha na sisi ndo tuige...
Kama ninyi mnatumia hiyo system na mme-fail,kwa hiyo mnataka na sisi tufuate hiyo system ili tu-fail
 
Hii road ni mpya kabisa lkn Wakenya kwasababu hawana elimu ya usafi wamei vandalise hiyo road now mifugo, magari, watu wanapita hapo hapo.

Hakuna mkenya huwa anapost hilo daraja ukiona anapost basi anapost wakati inajengwa, jamaa wachafu sana hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1600985266704.jpeg
 
Hii road ni mpya kabisa lkn Wakenya kwasababu hawana elimu ya usafi wamei vandalise hiyo road now mifugo, magari, watu wanapita hapo hapo.

Hakuna mkenya huwa anapost hilo daraja ukiona anapost basi anapost wakati inajengwa, jamaa wachafu sana hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1622884
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1595831934611.jpeg
 
Back
Top Bottom