Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wana maisha magumu mno zaidi ya mnavyoweza kudhani ndugu zangu wasiongope eti ni Kibera tu hapana ni kenya nzima wana hali ngumu ngumu ngumu sana na ndiyo maana mkenya yeyote akipata fursa ya kuja Tz huwa hatamani kurudi kabisa, mm lecturer wng alikuwa mkenya huwa c mtu wa kurudi rudi nyumbani kabisa mpk tukawa tunashangaa
tapatalk_1593531688046.jpeg
tapatalk_1593531646646.jpeg
tapatalk_1593531641397.jpeg
 
U are desperately seeking for Kenyans attention,,that clearly shows inferiority complex.Please stop flattering uaself and craving for our attention.WE DON'T CARE
Ckia janerose, kenya haitowahi na haiwez karibia Tz kivyote hii unayoona ni battle ni kwasababu tu tulitaka mjue kwamba tuko mbele yenu kivyote na tunafurahi kuona ss mna adabu but believe me 5yrs from today hatutaongelea hz habari cz utakuwa ni upumbavu kulinganisha.
 
Sina mengi ya kusema zaidi ya kukuambia mkijaribu kutoa japo robo ya slums mlizonazo unitag niondoke Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
Nairobi sai ipo under mjeda jomba, ynai major "heneral" badi..
Nashuku hyu jamaa ni mgunya wa kutoka amu, manake akisema atakutoa utumbo kimbia sana..
Hao jamaa hawatanii, natamani mombasa pia watupe mjeda mmoja..ila joho anatenda size yake
 
Ckia janerose, kenya haitowahi na haiwez karibia Tz kivyote hii unayoona ni battle ni kwasababu tu tulitaka mjue kwamba tuko mbele yenu kivyote na tunafurahi kuona ss mna adabu but believe me 5yrs from today hatutaongelea hz habari cz utakuwa ni upumbavu kulinganisha.
So please stay in ua lane then
 
Nairobi sai ipo under mjeda jomba, ynai major "heneral" badi..
Nashuku hyu jamaa ni mgunya wa kutoka amu, manake akisema atakutoa utumbo kimbia sana..
Hao jamaa hawatanii, natamani mombasa pia watupe mjeda mmoja..ila joho anatenda size yake
Kwahyo kenya kumbe kuna mtu ana sauti kuliko president.
 
Google??!...vitu vidogo kama hivyo havihitaji google,dictionary wala diploma mungiki..hatusemi "teach a foolish" huwa tunasema "teach a fool"

"Teach a foolish" labda ni kiingereza ya mathare ndo inaweza kuwa sahihi
Sikulaumu na Elimu yako ya Tandale.
 
Umesha-fail mungiki!!!😂🤣 foolish is an adjective..nenda kadai karo yako uliyolipia kipindi unasoma,sio unaleta broken ambayo hata mtoto wa nursery hawezi leta
Unfortunately that wind in ua head is the storm in ua life
 
Hahahaaa Wakenya bhn kwahyo na ww unaamini kwamba ipo siku hili shuzi litapata mjambaji [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622691
Hahaha!!km hapo ni 5% only ya nairobi tu[emoji1787][emoji1787]
Sasa unashtuka nn, we unafikiria kenya kuinua units kibera imeshindwa..
Hapo serikali ikaamua kufanya ubaka wakenya wanarudi mashinani..
Tatizo ni kwa wale wanubi, watanzania na waganda walioparamia hyo sehemu hku hawajui km hilo eneo ni la serikali[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom