Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wana maisha magumu mno zaidi ya mnavyoweza kudhani ndugu zangu wasiongope eti ni Kibera tu hapana ni kenya nzima wana hali ngumu ngumu ngumu sana na ndiyo maana mkenya yeyote akipata fursa ya kuja Tz huwa hatamani kurudi kabisa, mm lecturer wng alikuwa mkenya huwa c mtu wa kurudi rudi nyumbani kabisa mpk tukawa tunashangaaView attachment 1622891View attachment 1622892View attachment 1622893
Naona umeweka hadi picha za wale ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige 😂 😂
 
Hahaha!!km hapo ni 5% only ya nairobi tu[emoji1787][emoji1787]
Sasa unashtuka nn, we unafikiria kenya kuinua units kibera imeshindwa..
Hapo serikali ikaamua kufanya ubaka wakenya wanarudi mashinani..
Tatizo ni kwa wale wanubi, watanzania na waganda walioparamia hyo sehemu hku hawajui km hilo eneo ni la serikali[emoji1787][emoji1787]
Mkifanikiwa kutoa japo robo ya hilo vundo naomba unitag niondoke Jf.
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622889
😂 😂 😂
Why are you this bitter today? Did you miss your pills or are you on your periods?
Hiyo barabara ya kwanza ipo kisumu, the second one ipo Nairobi and then unajifanya uniafahamu Kenya sana! Why are you comparing two different roads in two different cities?
 
Onaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622874
Only in tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CRlmf2EWcAAemM9.jpg

Huo ulimi soon unakuja kuwa hivi
 
Naona umeweka hadi picha za wale ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige [emoji23] [emoji23]
Na nyie km mna uwezo c mngewaweka sehemu moja mbn cc wakimbizi kutoka sehemu mbalimbali tunawaweka sehemu moja zen tunawapa na misosi kabisa hata km UN wakijisahau tunawalisha tu [emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-11-09-18-13-03.jpeg
Screenshot_2020-11-09-18-12-37.jpeg
 
Barabara gani hyo inayounganisha kenya , somalia na south sudan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo we mkurupukaji..
Huaga husomi kwanza ukalewa
We unajua kenya ww? We ni mamluki tu wa hapo Mombasa ambaye km ilivyo Wakenya wenzako nawe pia hutaki maendeleo popote pale zaidi ya Mombasa [emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-11-09-18-46-26.jpeg
 
Back
Top Bottom