Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Hyo apo chini ni render ya Kisutu market, zipo nyingi sana mpk mtaani kwetu huku uswazi zipo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-11-01-19-07-54.jpeg
 
Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Hicho apo chini ndiyo kijiji cha michezo, tuna plan ya kuandaa Afcon miaka michache ijayo, ona viwanja vya heshima vipo sehemu moja na wala hatujali bado tunajenga vingine mfano kile cha Dodoma ndo kitakuwa kikubwa Afrika nzima [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-31-11-20-12.jpeg
 
Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Hyo apo ndiyo electric Railway inapatikana tu Tz hapa Afrika mashariki na kati, angalia quality yake hata kuna baadhi ya nchi za ulaya hazina reli km hii, bado mna wasi wasi na Tz jameni [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1602839318855.jpeg
 
Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Tazama rangi za bendera yetu vile zinapendeza, angalia uyo mtoto alivyopendeza na culture yake ya Tz mkononi, nna hakika umkaribii hata kdg ww janerose wa kibera [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
tapatalk_1604566589434.jpeg
tapatalk_1599773186118.jpeg
 
Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Tukisema Tz ndiyo Super power hapa East Afrika muwe mnaelewa, yn hii bus terminal ni kali na nzr kuliko JKIA na wala hatujali bado tunajenga vingi vingine [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1604770717432.jpeg
 
Tanzania bhn baba laooo, tukija kwenye battle ya gari kali ndo usiseme, kuna mkenya mmoja uko juu eti anatoa execuses kwmb umaskini wote huu bado watu wananunua Lamborghini, anajisahaulisha kwmb Tz ndiyo nchi yenye dollar millionaires wengi in East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1604908206200.jpeg
tapatalk_1604908196480.jpeg
tapatalk_1591908514298.jpeg
tapatalk_1591906750780.jpeg
tapatalk_1591907758850.jpeg
 
A good move, lakini kwa opinion yangu, county government system in Tanzania can work 'magic', more than that! Serikali ya majimbo inaweza peleka Tz kwa mwendo wa kasi, yaani economy will be Turbo charged! Mtazamo wangu kutokana na vile nimeona impact yake hapa Kenya, na Tz is full of natural resources almost all around the country.
Mna nini kwenye County government zaidi ya kuongeza government expenditures?

Hivi unajua mlijifunzia Tanzania kwenye serikali za Mitaa (local government) ndio mkaiga mkaita ugatuzi?

Robo 3 ya revenue collection yenu inalipa mishahara


Note, Tanzania is almost two times bigger than Kenya
 
Ona jinsi elimu imeshindwa kumkomboa mkenya, wanakopa mahela ya covid-19, wanajengewa Xpress way ya msaada wanashindwa kukumbuka raia wanaopanda punda na kusoma chini ya baobab tree Karne hii ya 21[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1603794972590.jpeg
tapatalk_1603795041408.jpeg
tapatalk_1603794956206.jpeg
 
Back
Top Bottom