Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,216
Yaani ukutane na Mzee Bakhressa kwenye probox!? Hata wakinga tu wenye maduka sinza wanatembelea land rover na prado..Huku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa[emoji23][emoji23][emoji24].Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
Unless useme huko ushago wanakoenda mwisho wa mwaka... Wanafanya na uchawi pia... Probox kwenda nayo... Ni kama kukaa kibanda umiza na zile fomu/benchi za mbao...ila kibanda iwe na matairi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app