Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alikuwa ameshasema kuwa ameshashinda bila ushahidi wowote. Apparently anataka kwenda Supreme Court kudai kuwa kuna makosa yanafanyika kwenye zoezi la kuhesabu Kura.
Analalamik kwanin wanatup zile karatas(e mail) bada y kuhesab...anadai wataziesab upyaa
 
Kwa kuiba labda manake vijana wanaoenjoy kenya ni wale waliotokea kwneye familia za matajiri na politician ila waliotokea kwenye maisha fukara kutoboa hua ni ngumu sana kenya tuseme ukweli tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwa tanzania mambo ni tofaut vijana wengi wanatoboa hata kama wametoka kwenye maisha ya chini kabisa
Naona mnaskia uchungu kuskia km subaru hku vijana wengi wanamiliki[emoji23][emoji23]
Msijali kawaida hyo kuendekeza chuki
 
Ni kweli zimejaa mashinani na watu wanazitumia ku ferry watu au ilikua unafikiria tutakataa..
😂😂😂😂😂muna maisha magumu sana
2A90E777-1261-4B39-93AA-72B5206B91E6.jpeg
CB9D0352-3271-44E5-B8DB-DFCDE99A9F4A.jpeg
B462A6E0-6CF0-49C3-A7A0-3F5B36AAC01E.jpeg
 
Hyo ni punda bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Inagawaje jamaa kw ubora wake wanazitumia kuvunja sheria lkn kitu nakwambia hyo gari haijui dhiki
Ila nyinyi mumezidi aisee hata kama ni punda musisahau punda anakufa pia😂😂
 
Huku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa😂😂😭.Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
 
Back
Top Bottom