Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Aise ww uko tofauti kidogo na wenzako,palipo ukweli unatoe hongera,sio Kama akina Mwasiti,Wana utoto mwingi.🙏Ni kali sana. Hongera
Aise ww uko tofauti kidogo na wenzako,palipo ukweli unatoe hongera,sio Kama akina Mwasiti,Wana utoto mwingi.🙏Ni kali sana. Hongera
Wakuu mwenye kujua jinsi ya kutumia VPN anijuze plz napata tabu mnoo na huu upumbavu
Hivi hapa ndivyo vitu vya operation. Nitajie jina la bunduki hizo
View attachment 1620738View attachment 1620739View attachment 1620740
Watu wanaaukuma lamborghini marcielago kimyaakimyaa


Download "ufo vpn basic" ni rahisi kutumiaWakuu mwenye kujua jinsi ya kutumia VPN anijuze plz napata tabu mnoo na huu upumbavu.
Hahaha!!naona umekua mkalai ichoboyUnawazimu wa kichwa ww nani alikwambia pesa yangu nimetoa kwa wazaz wangu kwanza unanichukuliaje mm ??



Hiyo inaitwa mzizima towers.kwenye urefu sijuhi itakuwa na mita ngapiHili jitu limetokea wapi? Linaitwaje? Litakuwa na urefu wa mita ngapi?
Ngoma natamani imalizike mapema ili nikija kipindi cha x-mass nishukie hapo nione jengo jinsi lilivyo
Shida ni hiyo infrastructure ya kuingilia ndani ya stand sidhani kama itakamilika kabla ya November 30Washaanza kuweka vioo, huu mzgo unakamilika kabla ya Nov 30View attachment 1621426
Kudadeki wachina hawalali yaani 5g haijakaa vizuri wanataka kutoa 6g
Jamaa ananichukulia simple na hanijui acheni tabia ya mazoeaHahaha!!naona umekua mkalai ichoboy![]()
Nenda kwenye google chrome au opera then andika windscribes apk au unaweza kuingia playstore kama ikiwa inafungukaWakuu mwenye kujua jinsi ya kutumia VPN anijuze plz napata tabu mnoo na huu upumbavu.
Kuna kijiji fulani 'modern developed area' ni kadogo sana!😂😂 tafuta drone clips compare n contrast kote kote.Kilimani is rising
View attachment 1621750