Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa umenoa bro! Mkondo wa uchumi ambao mumechukua kwa sasa condemns the poor to more poverty n the rich to more wealth! Ndio maana masikini wa kutupwa wanaendelea kuongezeka kwa wingi in Tz kwa sasa mnaongoza ukanda huu na SADC, which is a sad thing! Watanzania wengi tu wamevuka border wanaendesha piki piki hapa Nairobi na kwingine, na wengine wamefungua vinyozi na salon ambao nawajua, they tell me themselves making a mininmum of ksh.1000( Tsh 22,000) kwa siku mfululizo in Kenya is easier for them than in Tz, ndio maana wanafanya biashara huku, pia hawkers kutoka kwenu pia wamejazana mbali na omba omba. Hakuna anae wasumbua. So hizi ni fikra zako tu za kizalendo, a feel good argument, kwa ground vitu ni different.😂
Your undoing ni economic path nchi yenu imechukua, it favours walio nayo more than walala hoi! Ndio maana pale Dar low life type residential zimejaza hiyo 1500 km sq by almost 85%!! Wewe hauoni ni balaa!., Tz ingekua na county government system walai mtaongoza Africa, take it to the bank! Most counties will have sufficient resources to run and grow on their own, but kwa sasa mali yote ni ya CCM, they decide whatever they think is "right". Wanafanya mambo makubwa ya kupumbaza raiya tu but with minimal economic impact to common mwananchi, despite all the hulabaloo ya construction poverty levels has remained the same or slightly increased!
huu ni ugoro umechanganya na mtindi na ngorotiii yani ni utopolo umeandika
😂😂😂😂
 
Hapa umenoa bro! Mkondo wa uchumi ambao mumechukua kwa sasa condemns the poor to more poverty n the rich to more wealth! Ndio maana masikini wa kutupwa wanaendelea kuongezeka kwa wingi in Tz kwa sasa mnaongoza ukanda huu na SADC, which is a sad thing! Watanzania wengi tu wamevuka border wanaendesha piki piki hapa Nairobi na kwingine, na wengine wamefungua vinyozi na salon ambao nawajua, they tell me themselves making a mininmum of ksh.1000( Tsh 22,000) kwa siku mfululizo in Kenya is easier for them than in Tz, ndio maana wanafanya biashara huku, pia hawkers kutoka kwenu pia wamejazana mbali na omba omba. Hakuna anae wasumbua. So hizi ni fikra zako tu za kizalendo, a feel good argument, kwa ground vitu ni different.[emoji23]
Your undoing ni economic path nchi yenu imechukua, it favours walio nayo more than walala hoi! Ndio maana pale Dar low life type residential zimejaza hiyo 1500 km sq by almost 85%!! Wewe hauoni ni balaa!., Tz ingekua na county government system walai mtaongoza Africa, take it to the bank! Most counties will have sufficient resources to run and grow on their own, but kwa sasa mali yote ni ya CCM, they decide whatever they think is "right". Wanafanya mambo makubwa ya kupumbaza raiya tu but with minimal economic impact to common mwananchi, despite all the hulabaloo ya construction poverty levels has remained the same or slightly increased!
Ivi ww mbna unaongea kama hayawani ? Ivi unajua kwa Tz mtu akiwa tu na elfu kumi ana consume more than mtu akiwa na same amount in kenya ww unaongela namba badala ya uhalisia wa dhaman za namba zenyew
Yani Tz ni mara kumi bora kuliko kenya ndio mana watu wa mipakan wanakuja kufanya manunuzi huku kuliko huko sabab pesa yenu kwenye parchesing power ni ndogo so acha kuimba tarabu zako za nadharia
 
Hapa umenoa bro! Mkondo wa uchumi ambao mumechukua kwa sasa condemns the poor to more poverty n the rich to more wealth! Ndio maana masikini wa kutupwa wanaendelea kuongezeka kwa wingi in Tz kwa sasa mnaongoza ukanda huu na SADC, which is a sad thing! Watanzania wengi tu wamevuka border wanaendesha piki piki hapa Nairobi na kwingine, na wengine wamefungua vinyozi na salon ambao nawajua, they tell me themselves making a mininmum of ksh.1000( Tsh 22,000) kwa siku mfululizo in Kenya is easier for them than in Tz, ndio maana wanafanya biashara huku, pia hawkers kutoka kwenu pia wamejazana mbali na omba omba. Hakuna anae wasumbua. So hizi ni fikra zako tu za kizalendo, a feel good argument, kwa ground vitu ni different.😂
Your undoing ni economic path nchi yenu imechukua, it favours walio nayo more than walala hoi! Ndio maana pale Dar low life type residential zimejaza hiyo 1500 km sq by almost 85%!! Wewe hauoni ni balaa!., Tz ingekua na county government system walai mtaongoza Africa, take it to the bank! Most counties will have sufficient resources to run and grow on their own, but kwa sasa mali yote ni ya CCM, they decide whatever they think is "right". Wanafanya mambo makubwa ya kupumbaza raiya tu but with minimal economic impact to common mwananchi, despite all the hulabaloo ya construction poverty levels has remained the same or slightly increased!
Sikutegemea mtu kama ww kuandika huu upupu😂😂😂😂
 
FB_IMG_16045202034449395.jpg
FB_IMG_16045201943356677.jpg
FB_IMG_16045199524980453.jpg
FB_IMG_16045198904755879.jpg
FB_IMG_16045196478375207.jpg
FB_IMG_16045196383360559.jpg
 
Acha kutuongopea Dada, labda ceos wa kiosk
Probox ni nyingi sana Nairobi [emoji16][emoji16][emoji16]
That's probably the best Majority can afford, unakuta Mwanaume mzima anaendesha probox, nafananisha na mademu huku Bongo wanavyoendesha ist,
We unajua probox kenya inatoka na ngapi kwanza[emoji23][emoji23]acha uropokaji jomba
[/URL]
Take it or leave it. Probox ni gari za kishamba.
We niwakupuuzwa tu, tangu lini akili za uswazi zikajua umuhimu wa probox..
Yani unawaona vile vidume wenzako wanaokununulia chipsi kumbe hujui km zile benz payslip ina read "negative"[emoji23][emoji23]
 
Nyie tunawajua sana kama wewe hapo na mdomo yako kubwa huna chochote ata pikipiki.Nyie maccm tunawajua wazee wa buku saba kusema na kusema tu
Hahaaa!!jamaa anaongea kinyama ni km ako na ksh 800k-900k ya kukomboa probox..

Na wakati hku hyo pesa jamaa anakomboa tatu kw mpigo anaweka barabarani na dereva hukosi
 
Back
Top Bottom