Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujawahi kuona gari wewe. Yaani unasifia probox yaani kibanda. [emoji1787]
Enheee!!kumbe ni kuona wala sio kumiliki au kuendesha[emoji23][emoji23]
Ingawaje nakupuuza lkn wacha nikufunze kiasi kilaza..
Kila gari inaundwa kulingana na purpose yake maalum, sasa nakushangaa wewe mnenguaji unaropoka tu..

Ila siwezi kulaumu exposure ndio huna[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Humo ndani mnashindiliwa 20
Tanzania huo upumbavu hamna
Yutong zimejaa tele
Yani mnaongea nkm kenya hakuna mabasi na matatu za inter counties na mikoani..

Ila acha nieaachie hapo, gari kali dunia nzima ni VX[emoji23][emoji23]
 
Yani mnaongea nkm kenya hakuna mabasi na matatu za inter counties na mikoani..

Ila acha nieaachie hapo, gari kali dunia nzima ni VX[emoji23][emoji23]
Mtoe wapi system ya usafiri uliopo Tanzania? 😅😅😅

Ninyi wenyewe mnatushangaa kuona tuna bus terminals, kwenu ni maajabu
 
Enheee!!kumbe ni kuona wala sio kumiliki au kuendesha[emoji23][emoji23]
Ingawaje nakupuuza lkn wacha nikufunze kiasi kilaza..
Kila gari inaundwa kulingana na purpose yake maalum, sasa nakushangaa wewe mnenguaji unaropoka tu..

Ila siwezi kulaumu exposure ndio huna[emoji3][emoji3][emoji3]
Unatia aibu. Probox gari ya kubebea mbolea.
 
Mtoe wapi system ya usafiri uliopo Tanzania? [emoji28][emoji28][emoji28]

Ninyi wenyewe mnatushangaa kuona tuna bus terminals, kwenu ni maajabu
Basi mna service gani za kiofisi kutuliko, tena mabasi yenu yana office na lounge za ki binafsi kweli au mnangoja mpka mpewe terminals za misaada
 
Wenye democracy yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20201105_150429.jpg
 
Chama cha trump kinalalamika mpaka maiti zimepiga kura....[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazeee wakuelekwza wenzao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20201105-150928.jpg
 
Tembea uone kijana.
Tanzania imekuwa na Data Center kubwa since 2013 nyie ndio mnashituka leo.
Pwahahahaha!!
Soma hapa:

Najua kizungu huwa inawapiga chenga. It's clearly written the "largest data center for East Africa." That data center has been in operation for many years, probably way long before you knew you'd have something called a data center. Keep to your lanes
 
Probox hazihitaji mbwembwe za terminals [emoji28][emoji28][emoji28]
Wenzako wanazitilia hela we endelea kubweka mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanunue benz na kimshahara wenzako wananua probox na ni wafanyibiashara wakubwa..hapo zuka ni nani..
 
Back
Top Bottom