Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
La. Zimecheleweshwa kidogo. Nadhani zitawasili mwaka ujao.najua nilidhani zimewasili!
La. Zimecheleweshwa kidogo. Nadhani zitawasili mwaka ujao.najua nilidhani zimewasili!
Mko na power na roads huko?La. Zimecheleweshwa kidogo. Nadhani zitawasili mwaka ujao.
Mbona mnashikilia hizo rails na mawe "majiwe"?Picha ya Lamu port leo asubuhi. Permanent secretaries wameenda kuitazama leo. Ukizoom unaweza kuona meli MV Jasiri ya Kenya navy.
View attachment 1614978
kivipi? windpower and coal plant zimefikia wapi?Stima zimepotea huku.
Sasa si kwenye uzi wa Lapsset wiki hii yote tumepost mipicha zaidi ya ishirini kuonyesha ujenzi wa barabara umekamilika. Umeme nao ulikuwa connected zamani sana.Mko na power na roads huko?
ElezeaNilipahatika kupita Kenya nikitokea Kongo via kampala to Nairobi to namanga kuna mambo nilijifunza Kenya nanitaeleza kidogo
Naskia ni Nairobi nzima. Ila siko sure. Coal plant nadhani haitajengwa. Windpower ilianza kazi mwisho wa 2018. Kama unataka evidence sema nitaweka.kivipi? windpower and coal plant zimefikia wapi?
Msinunue second hand gantry cranes and folklifts tu!La. Zimecheleweshwa kidogo. Nadhani zitawasili mwaka ujao.
Sasa si kwenye uzi wa Lapsset wiki hii yote tumepost mipicha zaidi ya ishirini kuonyesha ujenzi wa barabara umekamilika. Umeme nao ulikuwa connected zamani sana.
Gantry cranes ni ngumu sana kupata second hand. Ni kama ndege tu, lazima uagize kwenye factory na inachukua muda wa miezi kadhaa au hata mwaka mmoja au miwili kuundwaMsinunue second hand gantry cranes and folklifts tu!
Endelea na storySafari yakutoka Kampala to Nairobi ilianza saa mbili mpaka saa sita kasoro tukaingia border ya malaba wazoefu wanasema tulichelewa kwaajili ya foleni tukafanikiwa kugonga nilikuwa kwenye basis ya falcon tukagonga passport kabla ya kugonga nitaelezea kwanza kisa cha siti na mkenya mmoja ambaye alikuwa ametoka kufunga mzigo kampala
kwa nyie wakora wengi everything is possible!Gantry cranes ni ngumu sana kupata second hand. Ni kama ndege tu, lazima uagize kwenye factory na inachukua muda wa miezi kadhaa au hata mwaka mmoja au miwili kuundwa
Hii haijakaa vizuri hapa JPM anakosea..
Badala ya kungoja miaka miwili ili kupokea mpya naona ni afadhali tununue second hand (kama itapatikana) ili tuanze operation mapema. Halafu baada ya miaka 5 ndio tuagize mpya.kwa nyie wakora wengi everything is possible!