Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Uboya anao babako aliyekuzaa wewe schwain wahedi!
GEZA huyu Ansbert Ngurumo hupost video, picha zisizo na uhalisia. Yuko Twitter na blog yake ya Sauti Kubwa.
Mimi nipo Twitter pia na Acc yangu ni: @KipepeComrade.
Hao ni wasambaza propaganda, huwezi chukua video zao kama reference. Wakati wa Corona Walipost video za mji was Ecuador na kusema ni Dar es salaam.