Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Sio vyema kuconclude kuwa hilo analosema Halima Mdee ni la kweli...hiyo ni SIASA na mwanasiasa anaweza cheza na akili ya mtu ili kupata anacho taka kama Mbowe aliweza sema alikanyagwa kanyagwa miguu ili asishiriki uchaguzi wakati alilewa sembuse hyo ya halima mdee...ndo maana ulimwengu wa sasa kithibitisho kisichokuwa na shaka ndo kinahitajika na sio maneno tu.
Maana hata mm naweza kuamka asubhi nkasema nimeona kula feki zinaingizwa na Jeshi la Jwtz na kama mtu ambaye unaendeshwa na maneno pasipo uthibitisho uta react na kusema ni kweli. Politicians Use lies to Cover the truth don’t trust them easily.
Hata mimi nawashangaa!
Mtu mwenye utimamu na uelewa mpana wa Siasa, akisikia Mwanasiasa kaongea lazima afanyie kazi kauli yake.