Have you ever used ayahausca...??Mndengereko One ! Umekunywa ayahausca nini?
Have you ever used ayahausca...??Mndengereko One ! Umekunywa ayahausca nini?
Wapinzani saa nyingine ni kama wakenya usiwaamini sana.Kusema kweli ukweli usemwe...JPM kakosea Tena Sanaaaa...Japo anafanya mazuri mengi lakini kwa Mtanzania yatakuwa sio kitu...
Bado ila nataka siku moja niende kwenye jungle huko Amazon ninywe na indigenous wa huko.Have you ever used ayahausca...??
Tume Imekosea cio jpmHii haijakaa vizuri hapa JPM anakosea..
Lakini democracy lazima ieshimiwe...Sisi bado Ni nchi changaWapinzani saa nyingine ni kama wakenya usiwaamini sana.
Kwani viongozi wa tume wameteuliwa na nani....?? Kwa kuwa wa bunge wote wa CCM ngoja tuone kwenye swala la maendeleo...Jua kwa CCM is more at risk than before...Tume Imekosea cio jpm
Mimi Nilisha itumia....Inapatikana Tanzania...Niliitumia ilikuweza kuhacha pombe...Nimefanikiwa kuhacha pombe kabisa...It is the best drug I have ever used in my life..Bado ila nataka siku moja niende kwenye jungle huko Amazon ninywe na indigenous wa huko.
Amazing! Sikufahamu kama ipo Tanzania aisee. Inapatikana wapi na ni ya kimila kama kule kwenye misitu ya Amazon?Mimi Nilisha itumia....Inapatikana Tanzania...Niliitumia ilikuweza kuhacha pombe...Nimefanikiwa kuhacha pombe kabisa...It is the best drug I have ever used in my life..
Yaa na mi ndio napenda hiyo risk ili wakizingua wajue hapo watakua against watz tuliowaamini, afu tuone ka watatushinda watz kwapamoja bila kujali uchamaKwani viongozi wa tume wameteuliwa na nani....?? Kwa kuwa wa bunge wote wa CCM ngoja tuone kwenye swala la maendeleo...Jua kwa CCM is more at risk than before...
Umeishia katikati .. please.. the floor ..I mean the screen is yours.Amazing! Sikufahamu kama ipo Tanzania aisee. Inapatikana wapi na ni ya kimila kama kule kwenye misitu ya Amazon?
Nimekuwa nikifanya kautafiti kangu kuhusu mimea na uyoga jinsi inavyoweza kuongeza network za neurons kwenye brain (ubongo unachemka kama wa mtoto mdogo) ili kuchota maarifa yaliyo ndani ya subconscious. Ndipo nilipojifunza kuhusu hizi psychedelics na jinsi zinavyowasaidia watu kuachana na addictions mbalimbali. Pia hata kuweza kupata idea za ajabu ajabu, kama za kina Elon Musk.
Nilipata kamtonyo kuwa watu wengi kwenye hizi tech giants kule silicon valley, wanakunywa maji ya hii mimea/uyoga ili kuongeza maarifa.
Tupeane maarifa hapa mkuu.Amazing! Sikufahamu kama ipo Tanzania aisee. Inapatikana wapi na ni ya kimila kama kule kwenye misitu ya Amazon?
Nimekuwa nikifanya kautafiti kangu kuhusu mimea na uyoga jinsi inavyoweza kuongeza network za neurons kwenye brain (ubongo unachemka kama wa mtoto mdogo) ili kuchota maarifa yaliyo ndani ya subconscious. Ndipo nilipojifunza kuhusu hizi psychedelics na jinsi zinavyowasaidia watu kuachana na addictions mbalimbali. Pia hata kuweza kupata idea za ajabu ajabu, kama za kina Elon Musk.
Nilipata kamtonyo kuwa watu wengi kwenye hizi tech giants kule silicon valley, wanakunywa maji ya hii mimea/uyoga ili kuongeza maarifa.
Nikweli kabisa Kama unavyodai...Hii kitu matajili wanaitumia Sana...Inabadili Maisha ya binadamu kwa kiasi kikubwa Sana...Mimi nilipewa Kama mitishamba....Sema Ni vyema uzingatie dozi usizidishe...Kuna ule mmea ambao ukishika majani yake yanajikunja..Mizizi yake ina content nyingi....Ila cha ajabu pia mkonge una content pia...Mimi Niliitumia ya mkonge...Amazing! Sikufahamu kama ipo Tanzania aisee. Inapatikana wapi na ni ya kimila kama kule kwenye misitu ya Amazon?
Nimekuwa nikifanya kautafiti kangu kuhusu mimea na uyoga jinsi inavyoweza kuongeza network za neurons kwenye brain (ubongo unachemka kama wa mtoto mdogo) ili kuchota maarifa yaliyo ndani ya subconscious. Ndipo nilipojifunza kuhusu hizi psychedelics na jinsi zinavyowasaidia watu kuachana na addictions mbalimbali. Pia hata kuweza kupata idea za ajabu ajabu, kama za kina Elon Musk.
Nilipata kamtonyo kuwa watu wengi kwenye hizi tech giants kule silicon valley, wanakunywa maji ya hii mimea/uyoga ili kuongeza maarifa.
Kwamba mizizi ya hyo mimea ina kazi gani mkuu.Nikweli kabisa Kama unavyodai...Hii kitu matajili wanaitumia Sana...Inabadili Maisha ya binadamu kwa kiasi kikubwa Sana...Mimi nilipewa Kama mitishamba....Sema Ni vyema uzingatie dozi usizidishe...Kuna ule mmea ambao ukishika majani yake yanajikunja..Mizizi yake ina content nyingi....Ila cha ajabu pia mkonge una content pia...Mimi Niliitumia ya mkonge...
ningependa kuona vipimo vya hilo daraja sidhani kama allowable passage height ni 4.3 m! Na si mnayo na height clearance protection/alert? Sasa kama this truck succeeded to pass underneath, inakuwaje limegonga overpass? kama the underpass met the standards then who cleared the trailer? as seems halijafuata standards!Sasa tatizo ni transporter mjinga au mjenzi wa huo bridge Geza? Wacha kuwaonea Wachina. Height ya kila bridge inajulikana. Mbona transporters wengine wa magari hawajawahi kufanya huu ujinga?
Huwa wakati mwingine anatumia nguvu nyingi pasipo sababu ya msingi, wkt hata wapinzani wanamuelewa japo kwa siri, leo asilimia kubwa ya wapiga kura kutoka upinzani wamechagua wabunge wao na madiwani lkn kura ya urais wamempa yeye kuonesha jinc gn wanamkubali, ss hapo nguvu kubwa ya nn wkt hata hao wabunge na madiwani bado nusu ya wapinzani wamewapa wagombea wa ccm.