Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 345
- 249
Nilikaa na mdada wa kikenya mm nikiwa dirishani wa kiti cha pembeni pia ni mkenya mwanaume katoka kufunga mziko kampala wakaanza kuongea kilugha basi zima yule mwanaume akaniambia nyanyuka njoo ukae hapa nije kukaa na bibi yangu mtu