Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Commuter rail( itabeba)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tusubiri kwanza ikishabeba ndio urudi tuzungumze, kwa sasa hivi Tanzania Commuter rail + BRT zinabeba watu wengi mara 3 zaidi ya wanaobebwa na Commuter train yenu.

Kuhusu Maji, Dar es salaam 99% ya Population yake inapata maji safi na Salama. Kwa nchi nzima: 74% ya rural na 88% ya urban Population inapata maji safi na salama. Hivi ndio vitu tunataka kusikia, sio GDP isiokuwa na usaidizi kwa wananchi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
World bank walisema hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., facts dunia yote inajua Tz ndio masikini wa kutupwa EAC., top 5 Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maoni yako haotobadilisha ukweli kamwe ng'o![emoji23][emoji23][emoji23]
World Bank na UNDP ndio waliosema kwamba Kenya kuna Slums kubwa zaidi barani Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hii imekaaje. Unaweza kutupatia jibu!?
View attachment 1613680
Naweka latest unaleta historia ilio suluhishwa😂😂😂😂😂 masikini jikaze kidogo kaka., vuta kamba kabisa ujikwamue kutoka kwa team low life in Tz.😂😂 hamuwezi kuja on level ground, mtakosa jibu kabisaaaa😂😂 inabidi mu derail to survive😂😂😂
 
Ndo tatizo la kuwa nyang'au kuna mtu humu ndani aliwahi shabikia uwepo wa kibera eti ni eneo la utalii ndo maana limeachwa,haraka haraka nikawaza kuna waafrika wenzetu wako tayari kuwekwa kwny cage kama wanyama. Ukombozi wa kifikra bado sana Kenya.
 
Unajua umekuwa ukitudanganya hapa JF kuwa Lapsset imejengwa kwa miaka kumi. Hio ilinifanya jana nikaenda hadi kwa website ya lapsset kudhibitisha mbivu na mbichi. Sasa jana nilishangaa kujua kwamba construction ya Lamu port ilianza rasmi 2015/2016, wakati rais Uhuru tayari alikuwa madarakani. So construction na dredging yenyewe imechukua miaka mitano tu hadi sasa. Kwa hivyo wacha kupotosha watu. Soma timeline hapa:



MILESTONES​

  1. Feasibility studies for Lamu Port and SEZ carried out and completed in 2011
  2. The contract for the construction of the 1st 3 berths was signed on the 1st of August 2014 with a Chinese EPC.
  3. Detailed Engineering Studies carried out for the 1st 3 berths which are now classified as a priority project for off-take of the rest of the project components.
  4. Environmental and Social Impact Assessment study completed and approved by the National Environmental Management Authority in 2014
  5. Construction completed at the Port site for the following preliminary facilities: LAPSSET Plaza (Port Headquarters), Port Police station, Electric Power connection to the national grid, and water supply to the port.
  6. Port Housing for management and security is still under construction with an estimated completion rate of 70%
  7. The Authority has procured the services of a Transaction Adviser to package the Lamu Port for Investments.
  8. Dredging began in October 2016 and is currently ongoing.

 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba 40% ya wakenya ni wezembe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
We huwa unanichekesha sn hiyo battle ya miji ilishawekwa humu ikaonekana kenya nzima miji ambayo kdg afadhali ni nairobi na kwa mbaali mombasa, ss utashindana vp na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂Tz ni Dar na Dar ni Tz including low life residential designs za kishamba, hamna lolote to level kamweeee😂😂., vipicha ndio yenu😂😂😂😂 weka Mwanza 2nd city nicheke kidogo😂😂😂 hapa hamniambii chochote😂😂
 
Hivi Tukizungumzia upande wa Magari Wakenya wanatia PUA kweli ??

Tanzania Tuna vyuma vikali Sanaa

Plate Number Zetu tuu Kali Balaa
Kenya Sijui Mnaumwa Macho minamba mikubwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1613700
When you grow up come again😂😂😂😂😂😂 old school ndio zenu.
 
Muda wa ujenzi unaanza pale feasibility study inapokua imekamilika na kuruhusu ujenzi uendelee, ndio sababu wameweka hapo uweze kujua muda uliotumika kumaliza huo mradi toka siku feasibility study ilipokamilika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Halafu jana niliweka picha ya kukamilika kwa ujenzi wa Lamu port link road halafu nikakumention. Lakini ukanyamaza. Huna la kusema kuhusu hilo? Huwa mnatoroka tukiweka kukamilika kwa ujenzi wa miundo mbinu.
 
Nyie ni 70% plus![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja kwanza tumalizane na Kenya, ndio tuhamie Tanzania. Rutto amesema 40% wanaishi katika umasikini wa kutupwa, wewe unasema nchi yenu ni nchi ya Kibepari ukiwa mzembe utabaki kuwa masikini.
Swali: Je 40% ya wakenya ni wazembe na wavivu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…